Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Yes, mambo si hayo sasa, vizuri sana.Yashapita... Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, mambo si hayo sasa, vizuri sana.Yashapita... Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini...
Wewe yule ni one man two idsHuu ni ukurasa wa 4 sijaona kama kamtag shemeji kama kawaida yao na jamaa hata hajakomenti.
Doh upweke ni shida. Namkumbuka Mr Bean alivyojiandikia barua na kushtuka alipoziona.Wewe yule ni one man two ids
Sijawah kuona mahusiano yenye drama kama haya halaf in social mediaDoh upweke ni shida. Namkumbuka Mr Bean alivyojiandikia barua na kushtuka alipoziona.
Kwahiyo wewe unatumia simu gerezani?Habari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Smart911 sweetheart I don't know how my life would be without you. You are my everything Smart911 my everything.......
love you sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unanyongwa na serikali au mtu binafsi?
Yamepitaje..?Yashapita...
Wewe endelea tu, wala huvunji sheria, sana sana wafurahisha mwili wako kwa nafsi yako, na ni kweli waweza taka njemba ishughulike kumbe ndiyo serial killer, safi sana...Jimalize kwa raha zako