Nimehukumiwa kunyongwa

Nimehukumiwa kunyongwa

Naona ndani ya masaa 12 ya ucku utakuwa umekata rufaa asubuhi rufaa yako itaanza kusikilizwa na utaachiwa huru ifikapo saa 2 asubuhi
 
Habari za usiku mabibi na mabwana

Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa


Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi

Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..

Tusiache kuombeana ndugu


Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina

Smart911 sweetheart I don't know how my life would be without you. You are my everything Smart911 my everything.......

love you sana
Kwahiyo wewe unatumia simu gerezani?
Kwamba unataka unyongwe pamoja na huyo sweet heart wako?
 
Smart911 sweetheart I don't know how my life would be without you. You are my everything Smart911 my everything.......

Huku sio kule kunyongwa kwa kawaida, yaani kupoteza uhai kwa sababu mnyongwaji anasema 'maisha bila [HASHTAG]#smart911', [/HASHTAG]hii inaonesha kuwa bado atakuwa hai.
 
Hilo songi km halijamtoa mleta mada chozi bahati, atakua na roho ngumu sn, ila naamini limemtoka
 
Jimalize kwa raha zako
Wewe endelea tu, wala huvunji sheria, sana sana wafurahisha mwili wako kwa nafsi yako, na ni kweli waweza taka njemba ishughulike kumbe ndiyo serial killer, safi sana...
 
Back
Top Bottom