Nimeibiwa ATRIUMS hotel Sinza.

Mkuu what goes arround always comes arround. Naye ishu ya camerione imemfunza kitu.
 
Pole bana, ndo yule jamaa anaejinadi kufundisha watu ujasiria mali?!!.. pole ndugu yetu siku nyingine nenda hotel zenye kutambulika na zenye ulinzi imara.

si ndio huyu huyu anayelalamikiwa na Dr. Chemelione wa Uganda kuwa kamnyakulia passport yake?? mbona jamaa sasa anaonekana kwenda ki wizi wizi??
 
Pole ndugu. Hotel zote za SINZA ni wezi wakubwa. Nyingine yaitwa manyara, nao wezi wakubwa. Kifupi hotel za Sinza zioogopwe kama ukoma. kama unataka kulizwa hotelini fikia hoteli za Sinza ni wezi wakubwa. Aibu zao
 
HAHAHAAAAAA WAMEKUFANYIA MAJARIBIO YA UJASIRIAMALIIIII HAHAHAAAAA

SIJUI NTAKUWA NAWATETEA AMA N MGENI NISAMEHE

UKIINGIÀ HOTEL YOYOTE SIKUHIZI HATA GUEST HOUSE WAMEANDIKA ANDIKISHA MALI ZAKO WAPE RECEPTION

HUYO SHIGO SIMJUI LAKINI SI FALA KUTOONEKANA ANAJUA ULIPOKOSEA MPWA

POLESANA INAWEZEKANA ULIAMINI SHIGONGO ZAIDI KAMA MMILIKI KULIKO KUAMINI UNACHOTAKIWA KUFANYA

NENDA HATA MOMBASA GUEST HOUSE MNAZOZIKIMBIA NAKUVAMIA HOTEL KUBWA.
RECEPTION MAKARATASI MAWILI HAKIKISHA U AKABIDHI MALIZAKO RECEPTION..NA UNAPEWA NA DOCS WAMEPOKEA SIO CONDOM

ASBH HATA MMILIKI AKIITWA UKIWA NA KARATASI IMEKULA KWAKE ATAKULIPA TU HATA KWAHAJA ....
 
HUYU ATAKUWA KALIZWA NA MIZIGO YETU YA HUDUMA KWA WATEJA KULE BARABARANI LAAMANA AKUMBUKE SURA

AKUMBUKE WA MWISHO KULALA NAE

NDIOMAANA TUNASISITIZA DAILY KIFUA KISIKAE MAKWAPANI MWA WALE MAHARAMIA WANA DAWA KANDAMIZI ZA KULEVYA WANAWEKA MAKWAPANI

TUNASISITIZA MNAONYONYA VIRUTUBISHO VYA MAZIWA PALE JUU WANAWEKAGA MADA WA YA KULEVYA KWENYE CHUCHU


NA SIKUHIZI WAMEJUA WANAPENDA KUNYONYA UCHI WENGI BASI WAMEAMUA KUPAKA NA MADAWA PANDE HIZO ULIZA ANATOKEA WAPI

Pole ndugu. Hotel zote za SINZA ni wezi wakubwa. Nyingine yaitwa manyara, nao wezi wakubwa. Kifupi hotel za Sinza zioogopwe kama ukoma. kama unataka kulizwa hotelini fikia hoteli za Sinza ni wezi wakubwa. Aibu zao
 
....Naunga mkono hoja. Hata kama ikatokea akakushinda, lakini utakuwa umempa jambajamba ya kumpa headache!
...ndio hivi tunavyowachekea na kuwalegezea wale wamiliki wa mabasi ambao tiketi za mabasi yao ximeandikwa 'Abiria chunga mzigo wako. Ukipotea hatuhusiki'...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuibiwa vitu chumbani ni kosa lako na hauna cha kumfanya ni ukweli,akulipe ulimakidhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…