Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole bana, ndo yule jamaa anaejinadi kufundisha watu ujasiria mali?!!.. pole ndugu yetu siku nyingine nenda hotel zenye kutambulika na zenye ulinzi imara.
HAHAHAAAAAA WAMEKUFANYIA MAJARIBIO YA UJASIRIAMALIIIII HAHAHAAAAANilikuwa Dar Es Salaam kwa muda wa week moja, nilikaa Atriums Hotel na nikaibiwa night ya nne, niliibiwa chumbani usiku wa saa 3 wakati nikiwa restaurant nakula hapo hapo hotelini... Niliibiwa digital camera 2, na simu aina ya HTC, na pesa taslim usd 2300.., mbaya zaidi mmiliki wa hotel anaitwa Erik Shingongo alifika hapo hotelin baada ya kupigiwa sim na meneja wake ndugu Sunday nilieripoti wizi huo muda huo huo. Shigongo aliniambia kuwa anawajua wezi nimpe muda wa saa 3 atarudisha vitu vyangu, baada ya masaa 3 kupita alikuja tena akiwa na maaskari 3 toka kituo cha polis kijitonyama na wakanitaka kutoa maelezo., na wakati huo, ikiwa saa 7 usiku shigongo aliniambia kuwa tayari kesha washika wezi wanne ambao ni wafanyakazi wa hotelini hapo HIVYO nitulie nitapata mali zangu.Nimesubiri bila mafanikio, nikapewa maelekezo ya kumwona RCO wa osterbay, kamanda Wambura ambae alitoa maagizo ya kuwepo mkutano kati yangu na shigongo na meneja wake bwana sunday, mkutano ufanyike ofisin kwa rco ili tuweze kukubaliana namna ya kurudisha vitu nilivyoibiwa. Shigongo hakutokea, meneja wake alifika na akiwa amepewa na maagizo na Shigongo kuwa msimamo wa hotel ni kutolipa au kutoa fidia ya aina yeyote, kuwa wao kama hotel wanaona ilikuwa ni kosa langu kwenda hotelin ATRIUMS. na pia alisema hakuna wa kumfanya lolote Tanzania hii hata nikiripoti kwa RPC, RCO akaridhia na akaniambia hana la kufanya na sheria haimpi nafasi ya kumbana shigongo.
hiyo ndo ilikuwa final na kesi ikafungwa, Tanzania ya watanzania raia hana haki, hadi polis wanaubariki wizi na kuutetea, pale ATRIUMS ni kichaka cha kufuga wezi, mwizi namba moja akiwa Erik Shigongo. namba 2 meneja wake na namba 3 team yake ya wafanyakazi, Kuweni makini msiumie kama mimi.
Pole ndugu. Hotel zote za SINZA ni wezi wakubwa. Nyingine yaitwa manyara, nao wezi wakubwa. Kifupi hotel za Sinza zioogopwe kama ukoma. kama unataka kulizwa hotelini fikia hoteli za Sinza ni wezi wakubwa. Aibu zao
....Naunga mkono hoja. Hata kama ikatokea akakushinda, lakini utakuwa umempa jambajamba ya kumpa headache!Jamani ndugu zangu, hebu acheni kuwa watu wakusukumwa na kila mtu akiwemo huyu mkunga, kama uliibiwa nenda kaweke mwanasheria acha ubahili persue hiyo kesi hata miaka 100 people are getting away with murder, yaani unaweka na kupokea hela za wateja halafu unasema huwajibiki na wao kuibiwa hotelini kwako? hata mgeni anayetutembelea majumbani kwetu tunawajibika juu ya upotevu wa mali zao na usalama wao wakiwa ndani kwetu, kwa hiyo ukiwa hapo hotelini ukaingiliwa na kuumizwa ama kuuawa bado hutaki kuwa responsible?, hivi kweli kwa nini tuna simplify maisha yetu hivi? mnataka kuniambia kuna authority inayotoa kibali shigongo afungue hoteli lakini asiwe responsible for mali na maisha ya wateja wake? sasa hii ni hoteli ama machinjio? Nakataa kabisa hakuna mahali penye sheria kama hizi, ni sisi watanzania na upumbavu wetu kama tunaoufanya hapa tunaohalalisha ushenzi wa watu wenye vijisenti kama hivi, hebu weka wanasheria waulize, kwa hiyo hao askari hapo wanafanyanini? ama wanamlinda yeye mwenyewe na vitu vyake? tusijibweteke hela ulizoibiwa na mali ni kubwa sana weka nusu ya hizo mpeleke mahakamani hata kama anamamilioni ashughulikiwe hii haikubaliki
Nilikuwa Dar Es Salaam kwa muda wa week moja, nilikaa Atriums Hotel na nikaibiwa night ya nne, niliibiwa chumbani usiku wa saa 3 wakati nikiwa restaurant nakula hapo hapo hotelini... Niliibiwa digital camera 2, na simu aina ya HTC, na pesa taslim usd 2300.., mbaya zaidi mmiliki wa hotel anaitwa Erik Shingongo alifika hapo hotelin baada ya kupigiwa sim na meneja wake ndugu Sunday nilieripoti wizi huo muda huo huo. Shigongo aliniambia kuwa anawajua wezi nimpe muda wa saa 3 atarudisha vitu vyangu, baada ya masaa 3 kupita alikuja tena akiwa na maaskari 3 toka kituo cha polis kijitonyama na wakanitaka kutoa maelezo., na wakati huo, ikiwa saa 7 usiku shigongo aliniambia kuwa tayari kesha washika wezi wanne ambao ni wafanyakazi wa hotelini hapo HIVYO nitulie nitapata mali zangu.Nimesubiri bila mafanikio, nikapewa maelekezo ya kumwona RCO wa osterbay, kamanda Wambura ambae alitoa maagizo ya kuwepo mkutano kati yangu na shigongo na meneja wake bwana sunday, mkutano ufanyike ofisin kwa rco ili tuweze kukubaliana namna ya kurudisha vitu nilivyoibiwa. Shigongo hakutokea, meneja wake alifika na akiwa amepewa na maagizo na Shigongo kuwa msimamo wa hotel ni kutolipa au kutoa fidia ya aina yeyote, kuwa wao kama hotel wanaona ilikuwa ni kosa langu kwenda hotelin ATRIUMS. na pia alisema hakuna wa kumfanya lolote Tanzania hii hata nikiripoti kwa RPC, RCO akaridhia na akaniambia hana la kufanya na sheria haimpi nafasi ya kumbana shigongo.
hiyo ndo ilikuwa final na kesi ikafungwa, Tanzania ya watanzania raia hana haki, hadi polis wanaubariki wizi na kuutetea, pale ATRIUMS ni kichaka cha kufuga wezi, mwizi namba moja akiwa Erik Shigongo. namba 2 meneja wake na namba 3 team yake ya wafanyakazi, Kuweni makini msiumie kama mimi.
Kesi iliishia hapo hapo police, jamaa haguswi!Mura mwita, vip kuhusu mahakamani, tupe marejesho