Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Duh, wezi si watu wema kabisa yani. Pole sana
 
Ntumie chases no. Yake na laki 2 tu baada ya nusu ntakwambia kko wapi.
No way uta-track gari kwa chasis number mzee. Tena gari yenyewe Mitsubushi. Hamna kitu hapo. Ni kufanya juhudi ya kusambaza tu taarifa ipatikane mapema
 
Pole sana mkuu....kwanini hukuweka steering lock?....halafu hayo maboya yanakujaga kamili na wese ya kutosha na wanawekea kule fuel pump kwa lita tano tano
Sasa steering lock si inatolewa. Ile sio security mkuu
 
Sasa usilazimishe kila mtu awe na primitive na immature mind kama yako. Mtu kakua toka kwao magari yapo mengi tu ya kutosha, ko gari kitu cha kawaida sana yaani. Mimi mtu mzima sasahivi namiliki gari zangu still ntakua na hio akili ya kijinga ya kupiga picha gari? Prestige my foot. Hayo mambo ya kupiga picha na magari ni mambo yenu nyie wasukuma na wamasai baada ya kununua gari.

And by the way jamaa kasema wameiba na simu yake pia kwa hiyo amebahatika kupata picha hiyo iliyokuwa kwenye tablet ya mtoto.

I rest my case!
 
Kampuni gani inafungwa hizo gps.unalipa Laki moja kwa mda gani?tuelimishe tafadhali
Hakuna GPS hapo ya laki. Atleast upate ya kuanzia 200k hapo unaweza ukasema kweli una gps ya kutegemea ila sio geresha hizo za 100k
 
.
 
Ashasema alitoa funguo in gun point kuwapa majambazi.
 
Hata usijisumbue na huyo mzee anaekwambia huwa anazima switch ya mafuta ukiwekewa pipe kichwan unanyoosha maelezo had ulipoficha kadi yako ya clinic ukiwa mdogo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii ni hatari sana,unaona kuna uhitaji wa kujipendekeza kwa kaka jambazi
 
Wezi original wa magari hawasubiri funguo yako wakatoe copy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…