Pole sana mkuu.Usijaribu kwenda kwa waganga, utaliwa hela mpaka . Polisi wanaweza wakaipata ila duh, full rushwa na wanawajua vizuri wezi ila ndo hivo.
Kuwa tayari kama utaikosa kuruhusu maisha yako yaendelee kwani kila jambo katika maisha ni somo kwetu.
Polisi wa bongo hakuna kitu, show off nyingi, waulize vyombo vya moto wanavyokamata kwanini hawaweki katika mtandao ikiwezekana namba zake halisi baada ya kufuatilia.Kwani kama ni wizi wa magari, pikipiki au bajaji vinaibiwa mikoa tofauti na vinapokamatiwa lakini utakuta wanaonyesha katika habari picha tu.
Viongozi wa juu wa jeshi la polisi jiongezeni ili waliopo chini wafanye kazi kwa moyo, full mastress walio chini.