Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mabwege sana. Wamekwiba vitu gani kama unaweza kuwa bayana.Walikuwa wanataka hela walipokosa walichukua vitu vingine kisha wakatumia gari kubebea vitu vyao so n I kama lengo lao halikuwa gari
Kwani waliondoka? Sabaya ni jambazi alafu alikuwa DcWamerudi tena majambazii
nilisoma bandiko lake sikuona sehemu amedai alishikiwa bastola sawa mahita junior hivyo ni new fact kwanguAcha kujifanya lijuaji.
Mwenzio ameporwa gari na bastola kashikiwa. Mambo ya funguo yanaingiaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba polisi wanalipwa kupambana na Chadema zaidi kuliko majambazi?!Pole sana, huenda taarifa yako polisi ungesema umewaona wanachadema unaowatilia shaka ndani ya gari hiyo, hii Post isingekuwa hapa maana lingekuwa limepatikana chini ya dk 15.
Sasa walikujaje hadi waondoke na gari lako tena hao wajaalaaana subahana alah .......Funguo niliwapa mwenyewe walitaka kunipiga risasi baada ya kukosa hela waliiba vitu vingine vingi wakatumia gari kama gateaway
Kama unasoma namba za comments utagundua hii comment niliuliza mapema kabla hajatolea ufafanuzi.Maswali hayana msaada hayo.
Funguo walimpokonya kwa nguvu wakaondoka
Huyu amesoma habari yote na ufafanuzi wa muhusika halafu anajibu comments za mwanzo kabisa ambazo zimedodosa maswali nyeti ambayo yamepelekea yeye kupata taarifa/ habari kamili anayotumia tena kutukosoa.....Heading na uzi kasemankaibiwa labda kwenye comments ndo kaelezea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mtu aje kuchukua mali yako atokomee nayo utamwita rafiki au mjomba??
Tutawapunguza tu kwani shida. Yaani hasira zao za kubadilishwa occupation ndio wawaibie raia wenzao...?! Kwani kazi ni umachinga na bodaboda tu hapa Tanzania?!Mkuu mchoma dirisha hausiki....ninacho kiona tangu machinga kufurushwa na bobaboda na bajaji....haya matukio ndio yame gain momentum.
Mimi sijawahi piga picha gari yangu..... But nadhani ni vema kuipiga picha inakuwa ni nzuri for identity.nilichukulie vyovyote vile uwezavyo, i don't care. nasisitiza hii ni chai.
kama sio chai kwanini picha ipo pixelated (number plate haionekani)?.
kwanini ameshindwa ku provide two or three pictures of his care taken from different angles?.
unataka kuniambia kwa mda wote ambao amekuwa anamiliki hilo gari, alibahatika kupiga picha moja tu?. i can't buy it?.
wabongo tunajuana, gari is one of a prestige item for someone who owns it, mara nyingi tunapiga nayo picha. mimi k-vitz changu nishakipiga picha sana, picha zake zimejaa kwenye gallery yangu na nyingine zipo katika kurasa zangu za mitandao ya kijamii.
mwambie huyo jamaa yako asituchulie sisi watoto.
Usije ukathubutu kufanya malipo nje ya benki. That is a very risky and a stupid idea.majambazi wanapewa michongo na watu wa ndani, either bank au mtu wako wa karibu alafu majambazi yanaomba ushauri kwa wazee ili likitokea la kutokea waweze kucover track na kupata backup ila wakifanikisha wanawatoa mchuz kidogo...Ndio mana me sikuiz nikitaka kununua kitu cha hela mingi, nachukua hela kwa timing sana, watu wanaweza wakawa wanakuwinda ila we hujui...
Cartrack niliuliza kwa jamaa mmoja anafanya hizo kazi, 750k na maintenance inclusive kwa mwaka mzima. Sasa sijui wote wanachaji bei hiyo au vipi.Watanzania tieni akili.
Kwani kufungiwa car-track kwamwaka Ni beigani?
Gari nibei gani?
Mmmmmmhmn google cloud...?!bado hainishawishi kumuamini, siku hizi kuna mfumo wa ku-save images, documents, password nk. moja kwa moja kwenye server za google, apple na makampuni mengine.
kwa google mfumo huu huitwa google cloud, kwa apple mfumo huu unaitwa icloud.
leo hii ukiibiwa simu halafu ukataka ku-restore baadhi ya data zako muhimu, ni rahisi sana. unaweza ku restore hata kwa computer ya ofisini kwako au ya jirani yako,almradi tu iwe connected na internet.
nilitegemea huyo jamaa baada ya kuibiwa gari pamoja na simu(kama anavyodai), angefanya hivyo ili atulee picha yenye ubora inayoonyesha number plate ya gari lake
mkuu unasema ukweli ila kuna cases mtu hataki hela ikae benk...wapo mabos wengi vijijin wana mambo ya ajabu sanaUsije ukathubutu kufanya malipo nje ya benki. That is a very risky and a stupid idea.
Unapofanya mauziano , malipo au manunuzi mtu mwingine, jitahidi ukamlipie bank.
Yaani fanyeni mazungumzo then mkishakubaliana mnaonyeshana mkataba kabla ya kusign mnakwenda benki mnakwenda kudeposit pesa kwenye account kisha ndo mnarejea kumalizia mkataba na kusign kila mtu anakuwa safe.
Mambo ya kwenda kutoa mahela halafu unabeba kama nguo ni hatari sana watu wanaweza kukudhuru katika process ya kunyang'anya na kisheria unatakiwa kushitakiwa kitendo cha kubeba pesa physically bila escort ya polisi of which is the worst idea also kuomba kusindikizwa na askari ukibeba pesa.
750,000/= ni pesa nyingi sana.Cartrack niliuliza kwa jamaa mmoja anafanya hizo kazi, 750k na maintenance inclusive kwa mwaka mzima. Sasa sijui wote wanachaji bei hiyo au vipi.
Huo ndio ujinga wenyewe mkuu benki ni kwaajiri ya watu wenye pesa nyingi. Ukiweka ndani mkeo tu akiingiwa na tamaa anaweza kukufanyia sarakasi.mkuu unasema ukweli ila kuna cases mtu hataki hela ikae benk...wapo mabos wengi vijijin wana mambo ya ajabu sana
Maji ya betri ndio kiboko. Anakunywa kisha mnamuacha . Hatotoboa hatua kumi.Sisi mtaani kwetu ukikamatwa umeiba au kuvamia Nyumba ya mtu tunakukorogea Cement kikombe kimoja unanyweshwa. Unaenda kufia mbele.
Mkuu wewe una idea ya gharama zake?750,000/= ni pesa nyingi sana.
Nadhani Kuna wengine Wana charge less.Cartrack niliuliza kwa jamaa mmoja anafanya hizo kazi, 750k na maintenance inclusive kwa mwaka mzima. Sasa sijui wote wanachaji bei hiyo au vipi.