toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
we si unaona hata jamaa watu watakuwa wameuza ramaniiDuuuh...humu dunian inabidi ujiamin we mwenyewe tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we si unaona hata jamaa watu watakuwa wameuza ramaniiDuuuh...humu dunian inabidi ujiamin we mwenyewe tu!
nilichukulie vyovyote vile uwezavyo, i don't care. nasisitiza hii ni chai.
kama sio chai kwanini picha ipo pixelated (number plate haionekani)?.
kwanini ameshindwa ku provide two or three pictures of his care taken from different angles?.
unataka kuniambia kwa mda wote ambao amekuwa anamiliki hilo gari, alibahatika kupiga picha moja tu?. i can't buy it?.
wabongo tunajuana, gari is one of a prestige item for someone who owns it, mara nyingi tunapiga nayo picha. mimi k-vitz changu nishakipiga picha sana, picha zake zimejaa kwenye gallery yangu na nyingine zipo katika kurasa zangu za mitandao ya kijamii.
mwambie huyo jamaa yako asituchulie sisi watoto.
hiki kijikaratasi hata mimi hapa nilipo naweza nikakiandika na kukituma jf. bado huja ni convince. acha chai kijana
bado hainishawishi kumuamini, siku hizi kuna mfumo wa ku-save images, documents, password nk. moja kwa moja kwenye server za google, apple na makampuni mengine.
kwa google mfumo huu huitwa google cloud, kwa apple mfumo huu unaitwa icloud.
leo hii ukiibiwa simu halafu ukataka ku-restore baadhi ya data zako muhimu, ni rahisi sana. unaweza ku restore hata kwa computer ya ofisini kwako au ya jirani yako,almradi tu iwe connected na internet.
nilitegemea huyo jamaa baada ya kuibiwa gari pamoja na simu(kama anavyodai), angefanya hivyo ili atulee picha yenye ubora inayoonyesha number plate ya gari lake
Hawa vijana wanadhani kwa vile wao wanajua vitu sijui icloud na makorokoro mengine kwa hivyo kila mtu anao uelewa huo.Kama wewe Mungu amekubariki una uelewa na hayo mambo ya online storage isiwe ticket ya kuwadhihaki wengine....
Kuna msururu wa watu wengi hawana uelewa na hayo mambo....
Nimecheka sana baada ya kuona hako kakaratasi ka RB.Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715View attachment 2000213
Hebu kiandike chako ukiweke hapa kama ni rahisi hivyo.hiki kijikaratasi hata mimi hapa nilipo naweza nikakiandika na kukituma jf. bado huja ni convince. acha chai kijana
Duh ndo kasema? HatariMtu mwenyewe hata hajui kujielezea. Kumbe alitolewa bastola ndio akawapa funguo.
Wewe acha ilikuwa bado mpyaaa nimeiwekea cover nzuri dah yule mwizi alikuwa na dawa, alinisalimia vizuri afu alikuwa smart ana simu kubwa mbili mkono, naongea na mtu simu ilipita sikioni niliumia sana, nikaenda police😂😂😂😂 na risiti na box la simu kilichoendelea ni historia sitokaa niwe na simu inayozidi laki nne ni matumizi mabovu ya pesa.Hakuna kitu kinaumiza pia kama kupoteza ama kutibiwa simu.
Acha uzuzu, we kubwa jinga ameandika wapi amepokonywa funguoTumia akili dogo. Jamaa alipokonywa funguo Kwa nguvu.
Umeongea kitu kizuri kwasababu upo uwezekano wa mtu kuchongesha funguo endapo kama aliwahi kumpa mtu funguo ya gariDuh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....
Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.
Ufunguo uliweka wapi?!
Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!
Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.
Kuuawa sio adhabu, kifungo kinacho ambatana na mateso ndio dawa yaoHalafu wakikamatwa na kuuawa Kuna watetezi wa haki za binadamu wanaanza kuleta ujinga
Daah aiseeKwani hiyo pajero io ni garu ya maana basi ,ni kadude tu mithili ya vits sema kapo juu juu,mm iwe bojo
Umezoea kubakwa dadabasi kwa sasa mtabakwa.
Umeandika kinyesi (as long as thread hii inahusika).Umeongea kitu kizuri kwasababu upo uwezekano wa mtu kuchongesha funguo endapo kama aliwahi kumpa mtu funguo ya gari
FactKwani watu waliokua wanaokotwa kwenye viroba ulikua utawala wa nani?
Waliokua wanatekwa Mo,Roma nk ulikua utawala wa nani?
Lissu alipigwa risasi pale dodoma ulikua utawala wa nani?
Umeni-attack badly as if mi ndo mwizi mwenyewe nimekutwa na hilo gariUmeandika kinyesi (as long as thread hii inahusika).
Mtu ameshikiwa bastola, akafungwa kamba. Akapokonywa funguo Kwa nguvu. Watu wakasepa.
Halafu eti wewe unaleta story za kuchongesha funguo!! Pathetic
Kwahiyo unakubali kwamba umedandia treni kwa mbele!!Umeni-attack badly as if mi ndo mwizi mwenyewe nimekutwa na hilo gari
Umesoma post ambayo nimeinukuu ina maelezo yeyote kuhusiana na kushikiwa bastola?
Main post yenyewe haina hayo maelezo ambayo we umeyaandika ya kushikiwa bastola, labda kama ulikua unazungumzia uporaji mwingine ambao umeelezwa kwenye comments za wadau na mimi sijausoma
Nimemshangaa sana mdau namna alivyoshupalia hilo suala la picha. Inashangaza mnoWewe ni mubishi kaweka huku Hadi RB yake ya police mkuu, na alipoanzisha Uzi yuko kwenye panic mode so kukumbuka hayo yote ya google sijui nini ni ngumu, pia wameondoka na simu zote, so usibeze majanga ya wengine shukuru Mungu ka hayajakukuta, na sioni sababu ya mtu kudaganya jambo sensitive Ili apate nini sasa!?