Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Acha uongo.Mkuu mchoma dirisha hausiki....ninacho kiona tangu machinga kufurushwa na bobaboda na bajaji....haya matukio ndio yame gain momentum.
Matukio ya wizi yapo siku zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo.Mkuu mchoma dirisha hausiki....ninacho kiona tangu machinga kufurushwa na bobaboda na bajaji....haya matukio ndio yame gain momentum.
majambazi wanapewa michongo na watu wa ndani, either bank au mtu wako wa karibu alafu majambazi yanaomba ushauri kwa wazee ili likitokea la kutokea waweze kucover track na kupata backup ila wakifanikisha wanawatoa mchuz kidogo...Ndio mana me sikuiz nikitaka kununua kitu cha hela mingi, nachukua hela kwa timing sana, watu wanaweza wakawa wanakuwinda ila we hujui...Kwahiyo mateller wanawapigia wao simu au straight kwa majambazi?
bado hainishawishi kumuamini, siku hizi kuna mfumo wa ku-save images, documents, password nk. moja kwa moja kwenye server za google, apple na makampuni mengine.Kasema simu zote zimeibiwa ba hiyo picha katolea kwa tablet ya mtoto wake
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sili mashoga
Jifunze kubalance kinyeo
Dah, pole sana ndugu..Muhimu zaidi wamekuachia uhai. Mali hutafutwa lakini uhai hautafutwi. MUNGU MWENYEZI akufanikishe na kupata mali zako walizoiba (au nzuri zaidi ya hizo walizochukua)Walinifunga kamba wakaniuliza ufunguo ulipo, s imu, kad I za banki namba za siri bunduki ikiwa kichwani
Mkuu toa darasa utuokoePole sana ndo maana mm nikipak lazma nizime swichi ya waya ya pump ya mafuta ili hata ukiwasha utawasha adi ufe haliwaki
Hatareetuna lock gari kwa nje tu, na wewe ukiwa ndani tunakupandisha kwenye brekadown tunakusaifrisha hadi malawi ukiwa ndani ya gari
Duuuh...humu dunian inabidi ujiamin we mwenyewe tu!majambazi wanapewa michongo na watu wa ndani, either bank au mtu wako wa karibu alafu majambazi yanaomba ushauri kwa wazee ili likitokea la kutokea waweze kucover track na kupata backup ila wakifanikisha wanawatoa mchuz kidogo...Ndio mana me sikuiz nikitaka kununua kitu cha hela mingi, nachukua hela kwa timing sana, watu wanaweza wakawa wanakuwinda ila we hujui...
Amesema ameibiwa simu na hiyo picha imetoka kwenye tablet ya mtoto wake inawezekana mtoto alipiga picha hiyo for fun tu wala hakujua kama kuna siku inaeza kutumika kama referencenilichukulie vyovyote vile uwezavyo, i don't care. nasisitiza hii ni chai.
kama sio chai kwanini picha ipo pixelated (number plate haionekani)?.
kwanini ameshindwa ku provide two or three pictures of his care taken from different angles?.
unataka kuniambia kwa mda wote ambao amekuwa anamiliki hilo gari, alibahatika kupiga picha moja tu?. i can't buy it?.
wabongo tunajuana, gari is one of a prestige item for someone who owns it, mara nyingi tunapiga nayo picha. mimi k-vitz changu nishakipiga picha sana, picha zake zimejaa kwenye gallery yangu na nyingine zipo katika kurasa zangu za mitandao ya kijamii.
mwambie huyo jamaa yako asituchulie sisi watoto.
Mama yangu mzazi je?Duuuh...humu dunian inabidi ujiamin we mwenyewe tu!
Big up umetisha sana mkuu.Ilikuwa mida gani?
Siri ya kuwakamata majambazi au Mali zako ni wewe Kwa kusaidiwa na Polisi au hata mwenyewe kuweza kuichora ramani mzima ya tukio.
1. Walitumia usafiri gani kufika kwako(most likely pikipiki). Na waliingiaje ndani.
2. Walikuwa wangapi.
3. Walikubananisha vipi. Eleza tukio zima. Eleza angalau bastola ilikuwa ya rangi gani na ukubwa au shape ya silaha. Kama unajua model sema.
4. Pia ukiwaeleza Polisi, andika kiasi kikubwa cha fedha ulizoibiwa. Hii itasambaratisha kundi hasa kwenye mgao. Itasaidia snitching kama utaahidi zawadi.
5. Ulifanya transaction yeyote kubwa hivi karibuni? Ilimhusisha nani na nani?
Kuna makundi ya ujambazi yanayojulikana na Polisi. Haya makundi hufuatiliwa up to two years. Hutumia mbinu na silaha zilezile. Silaha nyingine ni za serikali. Ni vizuri kuelezea methodology yao, sauti zao, silaha, uharaka wao, ukatili wao etc...
Polisi watajua ni kundi gani na linatokea wapi.
Wewe ni mubishi kaweka huku Hadi RB yake ya police mkuu, na alipoanzisha Uzi yuko kwenye panic mode so kukumbuka hayo yote ya google sijui nini ni ngumu, pia wameondoka na simu zote, so usibeze majanga ya wengine shukuru Mungu ka hayajakukuta, na sioni sababu ya mtu kudaganya jambo sensitive Ili apate nini sasa!?bado hainishawishi kumuamini, siku hizi kuna mfumo wa ku-save images, documents, password nk. moja kwa moja kwenye server za google, apple na makampuni mengine.
kwa google mfumo huu huitwa google cloud, kwa apple mfumo huu unaitwa icloud.
leo hii ukiibiwa simu halafu ukataka ku-restore baadhi ya data zako muhimu, ni rahisi sana. unaweza ku restore hata kwa computer ya ofisini kwako au ya jirani yako,almradi tu iwe connected na internet.
nilitegemea huyo jamaa baada ya kuibiwa gari pamoja na simu(kama anavyodai), angefanya hivyo ili atulee picha yenye ubora inayoonyesha number plate ya gari lake
Nahisi huyu ni mmoja wa weziKasema simu zote zimeibiwa ba hiyo picha katolea kwa tablet ya mtoto wake
Kampuni gani inafungwa hizo gps.unalipa Laki moja kwa mda gani?tuelimishe tafadhaliTunawashauri Kila siku fungeni GPS laki tu ,Unajipa matumaini itazima njiani huyo mwizi si anajaza mafuta.
Na unathubutu kueleza ujinga kama huu hapa? (kama siyo chai). Unakuta wezi wanaiba kwa mtu unayemfahamu, tena wanasombea walivyoiba kwenye mkokoteni, wewe unaona solution ni kwenda kumjulisha mwenyewe kwanza. Huna tofauti na yule jamaa aliyejitetea alijiriwa kulinda mlango wa mbele tu ndiyo maana wezi walipokuja kuvunja mlango wa nyuma hakufanya chochote.Kuna wapuuzi hapa hawajawai kukutwa na matukio.
Kuna kipindi niko na bibi mmoja ana hela na nyodo sana.
Ikafika siku mi nirudi kwake kutoka job.
Nampigia yupo bar sa nane usiku anacheza pool zamani hizo.
Hapo sa nane usiku.
Nafika pale bar e bana tuondoke aaah akawa mkali huyo kanipa key nenda nyumbani ntakukuta duh.
Mi nikajiondokea.
Sasa ile nafika home kwake nikakuta majambazi wamengoa dirisha zima wameweka pembeni wanahamisha kila kitu.
Jamaa walikua na mkokoteni bajaj hamna enzi hizo.
Wanasomba wanapeleka wanarudi wanasomba tv cm,hela chochote kinachobebeka .
E bana nilivyowakurupua mbinu sisemi wakatoka baruti na mkokoteni wao walikua wa4.
Nikaacha vile vile nikamrudia huyu mwanamke bar.
Namkuta bado anacheza pool.
Najaribu kumwambia huko home majanga twende ukaone.
Ndo kwaanza ananambia "we wivu tu unakusumbua"
Mama umeibiwa kila kitu pale kwako hapafai
Ndio anashtuka "unasema"
Namjibu"nimefika nimekuta wezi wamengoa dirisha lote wanatoa vitu pale.
E bana akatupa fimbo ya pool ingia kwenye gari twende.
Tukafika kweli kakuta kile nilichomwambia ndio kilivyo.
Ayayaya dem kaanza kilio,nikaanza kazi kubembeleza.
Yule mwanamke uchungu ule wa kuibiwa wakati ye ni mtoto wa mjini ilimuuma sana.
Nilikodi rum hotel wiki atulie kidogo maana alikua anaweweseka tu then kilio.
Ikabidi ahamie kwangu tu maisha yaendelee
MACHINGA WAMEANZA KAZI UPYAAANi gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715View attachment 2000213
Umenena vyema.Kikubwa uhai,gari na pesa vinatafutwa. Mshukuru Mungu hawajakudhuru wewe au familia yako.