Nimeibiwa ID identity

ID zenye umaarufu humu ndizo zinazofanyiwa manuever. Wapo members waliolalamika kuigwa, we una umaarufu gani humu ikiwa hatuoni mada zako zenye kutufanya tuvutiwe nawe ?
 
Reactions: 511
Hahahahahahahahahahahaha mkuu naona umeamua kunianika sasa. Niko poa sana sijui upande wako na familia kiujumla.
hahaha familia iko poa kabisa😊 nitakuja kukuchek pm mida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…