KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!