KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
- Thread starter
- #41
Like serious? Nakuja inbox mkuu, nitakulipaiPhone gan Coz nmetoka kuuziwa saiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like serious? Nakuja inbox mkuu, nitakulipaiPhone gan Coz nmetoka kuuziwa saiz
Duh aseePole sana
kuibiwa iPhone kusikieni tu 🥹🥹🥹
Ngojah nikutumie picha yake uoneLike serious? Nakuja inbox mkuu, nitakulipa
Asante mkuuPole sana mkuu
Nilikuwa nimeiweka kwenye gari siti ya mbele nimefika msolwa nikashuka, nikasahau kulock gari! itakuwa kuna mtu alioona akasepa nayo nimegundua haipo nimeshafika Ubena zomozi
Huwa zinarekodiwa mara nyingi. Alafu kama mfano mimi muuzaji tuna mapolisi wetu wa cyber, unanipa kama 70k ya utangulizi mwizi anatafutwa. Kwenye maelezo unaandika umekabwa na kuumizwa, ukaibiwa shilingi kadhaa, simu na kitu kingine (common sense applied). Unakaa unasubiri hata miezi, sometimes hapo katikati unahitajika ulipe kama 100k wakishatrack. After that unalipwa juu kwa juu na mtuhumiwa, it depends na simu gani na una hadhi gani.Wauzaji wa simu huwa hawarekodi imei number kwenye stock zao?
Nakubali ni uzembe nimefanya, kuibiwa gari sio rahisi na siku lock gari kwasababu siku izima nilishuka nikaenda toilet dakika chache tu nikarudi just for stretching up! Hapo kwenye siti niliuwa nimeweka na vitu vingine, huyo mtu angechukua vyote ningejua palepale, kabeba kimfuko chenye simu tuJinsi ulivyoelezea hapa inaonesha kabisa wewe ni aina ya wale watu wazembe wasiojali...
Kosa la kwanza una mali isiyo yako halafu unaiacha tu izagae kiholela, sasa simu unaiweka juu ya seat imekuwa abiria?
Kosa la pili, unashukaje kwenye gari na kuacha kulifunga? Siku nyingine jiandae kuibiwa gari kabisa...
Nimeongea na muuzaji, kijana wa kiarabu arabu hivi anasema simu alitoka nayo dubai yeye mwenyewe hana record za imei number, labda angekuwa na box lake,Huwa zinarekodiwa mara nyingi. Alafu kama mfano mimi muuzaji tuna mapolisi wetu wa cyber, unanipa kama 70k ya utangulizi mwizi anatafutwa. Kwenye maelezo unaandika umekabwa na kuumizwa, ukaibiwa shilingi kadhaa, simu na kitu kingine (common sense applied). Unakaa unasubiri hata miezi, sometimes hapo katikati unahitajika ulipe kama 100k wakishatrack. After that unalipwa juu kwa juu na mtuhumiwa, it depends na simu gani na una hadhi gani.
Kama umenunua mfano 800k unasema umenunua 1.5M kufidia gharama za usumbufu. Tunagawana faida muuzaji, polisi na wewe unapata faida juu.
Simu umenunua kwa nani? Ni iPhone gani?
Deal na aliyekuuzia mengine pambana kama mwanaume genius. Kama ni chini ya iPhone XR ni rahisi ku-bypass, kuanzia XR kwenda juu si rahisi kivile.
NB: Namimi niliambiwa, sijibu PM wala sina msaada mwingine zaidi
Nakubali ni uzembe nimefanya, kuibiwa gari sio rahisi na siku lock gari kwasababu siku izima nilishuka nikaenda toilet dakika chache tu nikarudi just for stretching up! Hapo kwenye siti niliuwa nimeweka na vitu vingine, huyo mtu angechukua vyote ningejua palepale, kabeba kimfuko chenye simu tu
Nakazia, kaibiwa kizembe sana.Jinsi ulivyoelezea hapa inaonesha kabisa wewe ni aina ya wale watu wazembe wasiojali...
Kosa la kwanza una mali isiyo yako halafu unaiacha tu izagae kiholela, sasa simu unaiweka juu ya seat imekuwa abiria?
Kosa la pili, unashukaje kwenye gari na kuacha kulifunga? Siku nyingine jiandae kuibiwa gari kabisa...
Jikaze brother, kama huku configure hiyo simu , imeisha hiyo.Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!
Futiliwa mbali huko mpaka kwenye database za JF haupo -delete >> press EnterKuna Uzi upo humu unaitwa SANDAKALAWE, MWENYE KUPATA APATE, kapitie kule unaweza ukaiona.