Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Samehe,,Sahau,Tuendelee zetu Kuishi na KuishiaAt least ningeweza kuifuatilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samehe,,Sahau,Tuendelee zetu Kuishi na KuishiaAt least ningeweza kuifuatilia
Nimeinunua dar, duka moja hapo samora wanapakana na voda shop hapoPole sana mkuu.
muuzaji ni wawapi?
Oya usitake kuniambia iPhone yangu imeenda buree mkuuHalafu nilikuwa nampelekea tu mtu
Kumbe we ni katili hivooKamsomee albadili
Mimi simuelewi mkuu yani iPhone kweli?? 😭😭😭😭😭Vuta bangi tuliza ndonga, unachako😎.
Nilikuwa nimeiweka kwenye gari siti ya mbele nimefika msolwa nikashuka, nikasahau kulock gari! itakuwa kuna mtu alioona akasepa nayo nimegundua haipo nimeshafika Ubena zomoziUmeibiwajeee???
Balaa sana, huyo mtu amepiga bingoOya usitake kuniambia iPhone yangu imeenda buree mkuu
Duuuh pole sana mkuuBalaa sana, huyo mtu amepiga bingo
Wewe Tajiri mpaka unamiliki chuma, fanya kama umetoa charity.....kesho ukanunue nyingine.....alafu wajanja waipe moto tena......kwa maana unakaa kishamba mjini.Nilikuwa nimeiweka kwenye gari siti ya mbele nimefika msolwa nikashuka, nikasahau kulock gari! itakuwa kuna mtu alioona akasepa nayo nimegundua haipo nimeshafika Ubena zomozi
Atuambie apo sasaI phone ya shillingi ngapi mkuu?
Gari sio ya kwangu mkuu ni gari ya kazi tu, na hata simu kuna mtu aliomba tu nimchukulie ndio maana sikuitoa kwenye box lake wala kwenye mfuko nilionunuliaWewe Tajiri mpaka unamiliki chuma, fanya kama umetoa charity.....kesho ukanunue nyingine.....alafu wajanja waipe moto tena......kwa maana unakaa kishamba mjini.