KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Hiyo imeendaWataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!
Aisee ni balaa sana, ni uzembe kidogo tuMhh!subiri nilie kwa niaba yako😭😭😭
Wauzaji wa simu huwa hawarekodi imei number kwenye stock zao?Kamroge
Halafu nilikuwa nampelekea tu mtuPole sana
kuibiwa iPhone kusikieni tu 🥹🥹🥹
Sijui mkuu ila kwa customer care ya watz ilivyo mbovu nina hakika hutopata ushirikiano wa kutoshaWauzaji wa simu huwa hawarekodi imei number kwenye stock zao?
At least ningeweza kuifuatiliaUlihitaji uibiwe ikishafunguliwa Kwa boksi?
Umeibiwajeee???Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!
Naweza kuipata?Kuwa mpole
😳😓Halafu nilikuwa nampelekea tu mtu
We umewahi ibiwa kwani....... Tupe kisa chakoPole sana
kuibiwa iPhone kusikieni tu 🥹🥹🥹