Nimeibiwa Iphone haijafunguliwa kwenye box lake.

Nilikuwa nimeiweka kwenye gari siti ya mbele nimefika msolwa nikashuka, nikasahau kulock gari! itakuwa kuna mtu alioona akasepa nayo nimegundua haipo nimeshafika Ubena zomozi
Wewe Tajiri mpaka unamiliki chuma, fanya kama umetoa charity.....kesho ukanunue nyingine.....alafu wajanja waipe moto tena......kwa maana unakaa kishamba mjini.
 
Wewe Tajiri mpaka unamiliki chuma, fanya kama umetoa charity.....kesho ukanunue nyingine.....alafu wajanja waipe moto tena......kwa maana unakaa kishamba mjini.
Gari sio ya kwangu mkuu ni gari ya kazi tu, na hata simu kuna mtu aliomba tu nimchukulie ndio maana sikuitoa kwenye box lake wala kwenye mfuko nilionunulia
 
Hivi jina lako ni Katela Mamba au Kotela Mamba, nimeona kuna mwamba hapo juu kapiga Katela MambašŸ˜‹, sijui ndio wenge la iPhone hilo.

Ukija dukani kwangu kwa hili jina sikupi risiti ya mkononi, aiseeeeeee😁!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…