Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 May 11, 2012 #21 kussy said: Aisee sizingui mtu, nafikiria kufunga Account kabisa sasa Click to expand... atm machine nyingi zina camera, wewe jaza fomu ili wafuatilie siku na mda husika pesa ilipotolewa then wataingia kwa camera kuona mtu aliyehusika na uwizi huo.
kussy said: Aisee sizingui mtu, nafikiria kufunga Account kabisa sasa Click to expand... atm machine nyingi zina camera, wewe jaza fomu ili wafuatilie siku na mda husika pesa ilipotolewa then wataingia kwa camera kuona mtu aliyehusika na uwizi huo.