Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Aisee sizingui mtu, nafikiria kufunga Account kabisa sasa
atm machine nyingi zina camera, wewe jaza fomu ili wafuatilie siku na mda husika pesa ilipotolewa then wataingia kwa camera kuona mtu aliyehusika na uwizi huo.