Nitakufanyia NDUMBA,aliechukua atarudisha haraka kwa maimivu yasiosikia dawa yoyote hapa duniani,ila utalipia ada kidogo tu yaani laki tano tu,kama uko tayari njoo PM.Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
Hivi milioni tano ni pesa nyingi?.Ama kweli Magu kabana faranga.Pole siku nyingine weka bank usikae na hela nyingi hivo ndani
Na simu ikiibiwa je?Nishapatwa na majanga nikakosa hata nguvu za kufanya kazi tena, ila baadae nikanyanyuka na kuendelea,
fanya kazi utapata nyingine, kuna wanaopatwa na majanga makubwa kuliko hayo so let it go, mambo ya kwenda kwa mganga utazidi ku complicate zaidi
Sema ulikuwa mzembe kufivha pesa nyingi kama hizo kwenye nyumba wakati kwenye simu unaweza ukaweka hadi milioni tano
hyo laki tano anatoa baada ya kaz kukamilika au kabla???????Nitakufanyia NDUMBA,aliechukua atarudisha haraka kwa maimivu yasiosikia dawa yoyote hapa duniani,ila utalipia ada kidogo tu yaani laki tano tu,kama uko tayari njoo PM.
Inategemea na mtu, mwingine kwake sio nyingi, ila mtoa mada kasema ni nyingi kwake so ni nyingi, kwenye simu haiwezi kuibiwa hata ikipotea una recover line pamoja na fedhaHivi milioni tano ni pesa nyingi?.Ama kweli Magu kabana faranga.
Na simu ikiibiwa je?
Lazima atume advance ya shs 7,777/=(ELFU SABA MIA SABA NA SABINI NA SABA),akishapata pesa zake,ndipo atamalizia zilizobaki.hyo laki tano anatoa baada ya kaz kukamilika au kabla???????
Mrembo bora umenielewesha vizuri,maana sisi wengine tulikimbia shule tukaenda kucheza gololi,mimi nilifikiri unazificha ndani ya simu zile za kizamani za kukoroga.Inategemea na mtu, mwingine kwake sio nyingi, ila mtoa mada kasema ni nyingi kwake so ni nyingi, kwenye simu haiwezi kuibiwa hata ikipotea una recover line pamoja na fedha