Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

"....Waafrika ni watu makini sana ila sio kwenye utunzaji salama wa fedha...."
Pradish Khan
 
Hiyo ndio tabu ya kuficha, unashindwa hata kuuliza. Vumilia labda umesahau ulipoweka ipo siku utakumbuka.
 
Waganga ni sawa na walokole tu...ukienda kanisa la walokole ni sawa na mganga manake wote matapeli ndio unaona walewa..wananywesha watu sabuni ya Deto
 
Kwanza kabisa poleni wakuu kwa kuchelewa kureply comments zenu,pia naona heading imebadilishwa ila mchezo ulikuwa hivi:
Hizo pesa nilikua nataka kuzihamisha kutoka bank kwenda tigopesa ila ndo zikaibiwa kabla ya kuzipeleka tigopesa na sikua nimeficha ndani eti ndo zimefika na hata hivo kila mtu ana uzembe flan ambao aliufanya ukamgharimu so kama ntalaumiwa kwa hilo kama wakuu wengine walivofanya ni sawa coz hawajui maumivu niliyonayo na kuhusu mkewangu alikua anajua kama kuna pesa ndani na anasema hajachukua,Imeniuma sana kwakweli coz nlifanya kazi ngumu na kutumia mda mwingi kuzipata ukizingatia ndokwanza nimeoa so ndo kwanza nimeyaanza maisha kibaya/kizuri zaidi mkewangu ana ujauzito kwasasa so nlikua nahitaji sana pesa anyway asanteni sana mlionipa pole it means alot to me even if haitasaidia kurudisha pesa zangu
 
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milion5, imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mkewangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia, sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote, yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu.

Msaada tafadhali wakuu
Aseeeee
 
Sasa mwizi umuoni au kujitoa ufahamu ....mnaishi wawili pesa zinaibiwaje 😂😜😜
 
Mdogo wangu pole sana.Na asije akakukejeli mtu kukuita fala au mjini shillingi 5000 kwa mtu mwingine ni kama shillingi mbili anatembea nayo kwenye bahasha tu ya kaki na kwa mwingine ni hela nyingi mno.
Kuishi kwingi kuona mengi nikupa experiene yangu.
Mwaka 2004 nilikwenda kwenye ulevi baada ya kuchukua mshahara nikaenda nao bao niliziweka mfukoni lakini kwenye bukta sikuwa na wasiwasi.
Asubuhi naamka nikakuta sina hela mke wangu akaniuliza asubuhi baba nanii hujanipa hela ya matumizi.Nikapata mshtuko kuwa huenda nimeibiwa nilimwambia ukweli aliijifanya kusikitika sana.

Nikaenda kazini ajabu kuja jioni naona mapishi yamebadilika nikala vizuri mno akaniuliza umegundua uipoibiwa? nikamjibu hapana.Nikakutana na dada yangu mmoja mtu mzima wa kumpa shikamoo nikamhadithia akaniambia ungekuwa kweli umeibiwa mkeo angechanganyikiwa sana ongea vizuri na mkeo ndio kachukua haki yake.
Kurudi jioni nikakuta amenunua mifuko ya sementi kesho yake akaanza kupiga tofali sikumuuliza umetolea wapi maana na yeye alikuwa anafanya kazi japo nilimzidi mshahara kwa mbali mno.
Sikumuuliza mwezi mzima ulipita kwa amani nadhani umeshapata jibu hapo.

Sasa wewe mchunguze mkeo kama ulivyosema umeibiwa millioni tano hakupanick kabisa pigia majibu mistari sasa inategemea mkeo ana busara ya aina gani kimaendeleo.
Lakini kama una mke yule ambaye hawezi kukushauri mjenge imekula kwako.
Wala usiende kwa mganga mwizi wako yuko ndani mnajifunika blanket moja mpe penzi zuri sana atakuambia ukweli
nimekupa vyanzo vya kiinteligesia kwa mujibu wa Kamanda mstaafu Alhaji Mzee Kova
 
Back
Top Bottom