mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Million tano unaeka ndani? U deserve it
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena imejaa,njoo uonje utataka nzima nzima.Nilikuwa sijui kama pm kuna bahati
Mkuu mshana kashaona ila kaishia tu kunilaumu yani kama me nlipenda vile kuibiwaOngea na Mshana
AseeeeeMimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milion5, imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mkewangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia, sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote, yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu.
Msaada tafadhali wakuu
Kwanza kabisa poleni wakuu kwa kuchelewa kureply comments zenu,pia naona heading imebadilishwa ila mchezo ulikuwa hivi:
Hizo pesa nilikua nataka kuzihamisha kutoka bank kwenda tigopesa ila ndo zikaibiwa kabla ya kuzipeleka tigopesa na sikua nimeficha ndani eti ndo zimefika na hata hivo kila mtu ana uzembe flan ambao aliufanya ukamgharimu so kama ntalaumiwa kwa hilo kama wakuu wengine walivofanya ni sawa coz hawajui maumivu niliyonayo na kuhusu mkewangu alikua anajua kama kuna pesa ndani na anasema hajachukua,Imeniuma sana kwakweli coz nlifanya kazi ngumu na kutumia mda mwingi kuzipata ukizingatia ndokwanza nimeoa so ndo kwanza nimeyaanza maisha kibaya/kizuri zaidi mkewangu ana ujauzito kwasasa so nlikua nahitaji sana pesa anyway asanteni sana mlionipa pole it means alot to me even if haitasaidia kurudisha pesa zangu
Sasa mwizi umuoni au kujitoa ufahamu ....mnaishi wawili pesa zinaibiwaje 😂😜😜Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milion5, imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mkewangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia, sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote, yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu.
Msaada tafadhali wakuu