Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milion5, imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mkewangu tu
Ila nakaa kwenye nyumba ya familia
Sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote,
Yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu.
Msaada tafadhali wakuu