Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Zitakuwa tu huko ndani........tafuta taratibu......
 
Mkuu hukuwaza ht km kuna mpesa, airtel au tigopesa?
 

Chunguza Sana io mama watoto
 
Kumbe mkulu alivyosema watu wanaficha ela ndani kumbe mpo yaani unaweza kuingia JF ila umeshindwa kuweka ela ata mpesa au bank au tigopesa nenda kwa mganga tu aendelee Kula zilizobaki
 

USIKURUPUKE NA USIMDHANI MTU BILA USHAHIDI, MAANA HAYO YAMESHANITOKEA NIKASINGIZIA WATU WENGINE KUJA KUKUTA MWIZI WANGU ALIKUWA MTU NISIYEWEZA KUMUWAZIA .... usiende kwa waganga, tafuta namna tu nyingine! HAPO PAGUMU
 
Si chadema wametangaza hamna pesa mtaani??
 
Huko nchini Kenya kuna wagonjwa wa akili wametoroka baada ya madaktari kufanya mgomo,

Bado sijapata taarifa kamili waliko kimbilia jitihada zinaendelea kuwatafuta, ila nimepata tetesi kuna ambao wamekimbilia humu jf
 
Hahahaah nacheka kama mazuri pole aisee..yaaani umeshindwa hata kuweka kwenye tigo pesa na mpesa...looooh
 
Hapa unaingia umhimu wa benki mkuu.
 
Nilienda bana........wamehama.......kabaki dobi tu.......
Hahahaaaaa mrembo wewe sina shaka unasema kweli,ila dobi hukumuuliza mama Martina na familia yake wamehamia wapi?,hata hivyo nashukuru kwa moyo wako wa ukarimu,kuweza kutumia muda wako ili unisaidie mimi Karanja,hata hivyo chagua itinerary of your choice either Tenerife,Malaga,Manorca,Costa de soul,Barcelona,Ibiza,Alicante or Leone?,maana nakuaminia kwa kujirusha fasi za ajabu,kama fedha zipo ila tatizo ni jinsi ya kuzipunguza au vipi?
 
Pole sana Mkuu, hata ungekuwa unaishi mwenyewe mimi nisingekushauri kukaa na kiasi hicho ndani mwako. Muulize mkeo labda kaihifadhi mahali.

 
noti [HASHTAG]#500[/HASHTAG] unaweka ndani kweli??? rais alisema atabadilisha noti so labda wamekupelekea bank
 
Kwako kidogo hizo ee
Vale kwa jinsi nilivyokuzimikia huwa napenda kujionyesha kwamba na mimi ni Pedeshee ili unipende.lakini wapi,wala huna habari na mimi au vipi,we kazi yako kujilengesha kwa American Boy Mr Nyani Ngabu au vipi,lakini kumbuka Ngabu anapapatikiwa na wengi humu,shauri yako iko siku atakuacha solemba,bora mimi muuza karanga nina mapenzi ya dhati mwenzio yaani nitakupeti peti mpaka ujione dunia mali yako babu.
 
Milioni tano Za kibongo au za trump maana Kama Za hapa ni kafungu kazuri kuficha huwezi na kupotea Kimya Kimya ngumu muulize vizuri mkeo
 

Ha ha......dobi niliyemkuta hawajui......kapewa kijiwe na dobi mwingine.......
Asante kwa offer......basi nipeleke Saint Tropez.......huwa sirudii sehemu za bata.......napendelea mpya mara kwa mara.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…