Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo,ahadi ni deni,muobope Bwana Mungu pretty.Zitakuwa tu huko ndani........tafuta taratibu......
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu

Mrembo,ahadi ni deni,muobope Bwana Mungu pretty.
Hahahaaaaa mrembo wewe sina shaka unasema kweli,ila dobi hukumuuliza mama Martina na familia yake wamehamia wapi?,hata hivyo nashukuru kwa moyo wako wa ukarimu,kuweza kutumia muda wako ili unisaidie mimi Karanja,hata hivyo chagua itinerary of your choice either Tenerife,Malaga,Manorca,Costa de soul,Barcelona,Ibiza,Alicante or Leone?,maana nakuaminia kwa kujirusha fasi za ajabu,kama fedha zipo ila tatizo ni jinsi ya kuzipunguza au vipi?Nilienda bana........wamehama.......kabaki dobi tu.......
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
Oooh itabid na Mimi nmtafute huyo mshanaOngea na Mshana
Kwako kidogo hizo eeHivi milioni tano ni pesa nyingi?.Ama kweli Magu kabana faranga.
Na simu ikiibiwa je?
Vale kwa jinsi nilivyokuzimikia huwa napenda kujionyesha kwamba na mimi ni Pedeshee ili unipende.lakini wapi,wala huna habari na mimi au vipi,we kazi yako kujilengesha kwa American Boy Mr Nyani Ngabu au vipi,lakini kumbuka Ngabu anapapatikiwa na wengi humu,shauri yako iko siku atakuacha solemba,bora mimi muuza karanga nina mapenzi ya dhati mwenzio yaani nitakupeti peti mpaka ujione dunia mali yako babu.Kwako kidogo hizo ee
Hahahaaaaa mrembo wewe sina shaka unasema kweli,ila dobi hukumuuliza mama Martina na familia yake wamehamia wapi?,hata hivyo nashukuru kwa moyo wako wa ukarimu,kuweza kutumia muda wako ili unisaidie mimi Karanja,hata hivyo chagua itinerary of your choice either Tenerife,Malaga,Manorca,Costa de soul,Barcelona,Ibiza,Alicante or Leone?,maana nakuaminia kwa kujirusha fasi za ajabu,kama fedha zipo ila tatizo ni jinsi ya kuzipunguza au vipi?