Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 764
Yaani nakuaminia we mrembo,daah mara umeahamia Ufaransa?,haya basi inaonekana wewe ni mpenzi wa French wine au vipi?,usisahau tukitoka St Tropez nakupelaka Praris shopping uitembelee Champs Elysee shoppig area ukijikusanyia designers kama nakuona Pretta na mkoba wako wa Prada,dress yako Givenchy,viatu Jimy Choo,.,.,.wow elegant lady.Ha ha......dobi niliyemkuta hawajui......kapewa kijiwe na dobi mwingine.......
Asante kwa offer......basi nipeleke Saint Tropez.......huwa sirudii sehemu za bata.......napendelea mpya mara kwa mara.......
ichonganishe ndoa ya watu.Kumbe upo na mkeo halafu unamtafuta mwizi nani ajakuibia amechukua akafanye shopping
Unaweka milioni 5 ndani kwny nyumba ya familia
Akili yako sio nzuri
..milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka...
Huo ni uzembe mkubwa kukaa na kiasi kikubwa cha pesa kama hicho ndani ya nyumba wakati siku hizi kuhifadhi pesa kwa njia ya kisasa kumerahisishwa mnoOngea na Mshana
Kaka pole sana. Wala usiangaike kutafuta mganga ili ujue mwizi wako. Tulia ujipe moyo konde komaa mungu atakubariki. But kuwa makini. Mim nilidondosha milion 1.5 kidogo niwe kichaa. Ukizingatia nimeipata after hard working. Kweli kweli inauma sanaMimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]bora kaibiwa
KARANJA NA MIMI NATAKA NI PM MKUULazima atume advance ya shs 7,777/=(ELFU SABA MIA SABA NA SABINI NA SABA),akishapata pesa zake,ndipo atamalizia zilizobaki.
He hee anaepapatikiwa ndo mzuri sasaVale kwa jinsi nilivyokuzimikia huwa napenda kujionyesha kwamba na mimi ni Pedeshee ili unipende.lakini wapi,wala huna habari na mimi au vipi,we kazi yako kujilengesha kwa American Boy Mr Nyani Ngabu au vipi,lakini kumbuka Ngabu anapapatikiwa na wengi humu,shauri yako iko siku atakuacha solemba,bora mimi muuza karanga nina mapenzi ya dhati mwenzio yaani nitakupeti peti mpaka ujione dunia mali yako babu.
mi jitu likisema halina hela nikikuta hela zake naficha kwanza!Pata picha ulikua unasema huna hela halaf sa hv zmepotea kwel utaisoma namba tena kwa kirum
mshana mm utanisaidia...?!!Huo ni uzembe mkubwa kukaa na kiasi kikubwa cha pesa kama hicho ndani ya nyumba wakati siku hizi kuhifadhi pesa kwa njia ya kisasa kumerahisishwa mno
Sitaki pesa ya dhuluma Sitaki dhambi hiyo haina jinsi asijaribu kumtafuta mwizi ataishia kuumizwa zaidi
Mkuu,sema tatizo lako kwanza,nijue na kulitathmini,maana mimi natumia majini tu,hakuna longolongo wala njoo kesho.KARANJA NA MIMI NATAKA NI PM MKUU