Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Sasa wewe ( 5ml ) 200,000 tsh nyumba comfortable unapata, unaishije home na mke asee acha tu wachukuwe ulikuwa unawatia hasara chukuwa mtoto wa watu akawe na maisha yake sio unamuoa bint wawatu unakuja mlisha chakula cha shikamoo
 
Ha ha......dobi niliyemkuta hawajui......kapewa kijiwe na dobi mwingine.......
Asante kwa offer......basi nipeleke Saint Tropez.......huwa sirudii sehemu za bata.......napendelea mpya mara kwa mara.......
Yaani nakuaminia we mrembo,daah mara umeahamia Ufaransa?,haya basi inaonekana wewe ni mpenzi wa French wine au vipi?,usisahau tukitoka St Tropez nakupelaka Praris shopping uitembelee Champs Elysee shoppig area ukijikusanyia designers kama nakuona Pretta na mkoba wako wa Prada,dress yako Givenchy,viatu Jimy Choo,.,.,.wow elegant lady.
 
us
Kumbe upo na mkeo halafu unamtafuta mwizi nani ajakuibia amechukua akafanye shopping
ichonganishe ndoa ya watu.


unajuaje mazoea ya chumba chao na nduguyapoje pia km hawana mirango je?
 
Pata picha ulikua unasema huna hela halaf sa hv zmepotea kwel utaisoma namba tena kwa kirum
 
mimi kuna jama yangu mtalamu wa tv asilia. nipm twende mahakama ya mnyonge.
serious mkuu imenigusa
 
..milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka...

Hayo sio mazingira ya kutatanisha. Inaonekana ulikuwa na tabia ya kwenda kuichungulia kila siku na jamaa wakakuona. Pole yako maana hutaiona tena.
 
Ongea na Mshana
Huo ni uzembe mkubwa kukaa na kiasi kikubwa cha pesa kama hicho ndani ya nyumba wakati siku hizi kuhifadhi pesa kwa njia ya kisasa kumerahisishwa mno
Sitaki pesa ya dhuluma Sitaki dhambi hiyo haina jinsi asijaribu kumtafuta mwizi ataishia kuumizwa zaidi
 
Inaonekana mkeo hukumjulisha chochote kuhusu hizo pesa, ila baada ya kupotea ndio unamuingiza mkeo. Kumbuka, mkeo ndio alitakiwa kuwa mlinzi namba moja kama ungemshirikisha. Wanawake ni wafichaji wazuri sana wa vitu, kama ungenkabidhi mkeo, naamini usingepoteza hizo hela, pole sana.

Vv
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
Kaka pole sana. Wala usiangaike kutafuta mganga ili ujue mwizi wako. Tulia ujipe moyo konde komaa mungu atakubariki. But kuwa makini. Mim nilidondosha milion 1.5 kidogo niwe kichaa. Ukizingatia nimeipata after hard working. Kweli kweli inauma sana
 
Vale kwa jinsi nilivyokuzimikia huwa napenda kujionyesha kwamba na mimi ni Pedeshee ili unipende.lakini wapi,wala huna habari na mimi au vipi,we kazi yako kujilengesha kwa American Boy Mr Nyani Ngabu au vipi,lakini kumbuka Ngabu anapapatikiwa na wengi humu,shauri yako iko siku atakuacha solemba,bora mimi muuza karanga nina mapenzi ya dhati mwenzio yaani nitakupeti peti mpaka ujione dunia mali yako babu.
He hee anaepapatikiwa ndo mzuri sasa
 
Huo ni uzembe wako kama huna account ya benki hata kwenye mitandao ya simu huwezi kuweka ?
 
Huo ni uzembe mkubwa kukaa na kiasi kikubwa cha pesa kama hicho ndani ya nyumba wakati siku hizi kuhifadhi pesa kwa njia ya kisasa kumerahisishwa mno
Sitaki pesa ya dhuluma Sitaki dhambi hiyo haina jinsi asijaribu kumtafuta mwizi ataishia kuumizwa zaidi
mshana mm utanisaidia...?!!
 
Back
Top Bottom