mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 98
Akili yako unaijua MWENYEWEMimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
ha ha ha ha ha ha unazificha au unatembea nazo maana hatakulalamika umeibiwa huwezmi jitu likisema halina hela nikikuta hela zake naficha kwanza!
NAKUTUMIAJE?Basi huyo ni kwishney,kesho ulete mrejesho na shs 77 tu za majini au vipi? yaani shilingi sabini na saba tu,baada ya hapo utamalizia hesabu.
Niko poa[emoji4]hujanijibu mpaka leo
Varentina ndo nani?Varentina atakua mpigaji samahanai my bwst
Khee mbona jazba sasa tena jamani?Kwa hiyo anakusugua weeee,mpaka unakolea au vipi?,halafu anakwambia honey leo sijisikii naona usubiri nitakupigia au vipi?,huku anakula kitoto kitamuu tena cha haja au vipi?,wewe kituntunya unasubiri huku wenzio wanapanuliwa usiku kucha,na wewe umekalia kujitia vidole mpaka vinakua vyekunduuu huku ukijitafuna vidole vyako ulivyopaka hina na havina thamani au vipi?kesho yake Ngabu anakwambia subiri baby nina mambo ya kikazi naenda nje ya nchi kidogo,nawe unajibu sawa honey lini utarudi?,unajibiwa nitakufahamisha baby,daah ama kweli wajinga waliwao hasa nyie wenye mistari mireeeefuuuu kule chinii au vipi?,kumbe lijamaa liko hapo hapo jirani linakula vichaza vidogo vidogo na wala halitaki manene ya mwili au vipi? mwisho wa siku unabwagwa kama robota la pamba huku ukitukana wanume wooote wa duniani ooh wabaya oooh hawafai oooh maadui ooooh sintompanulia uchi mwanaume mpaka nakufa oooh wanaume ni wanyama oooh kaima yangu naificha kuanzia sasa oooh bora iliwe na mchwa kaburini oooooh bora nisingezaliwa aaah aaah aaah,mwisho wa siku atakae kuoa ni muuza udaga au furu au dagaa sokoni,na ukileta zako anakufukuza unaenda kua mama ntilie sokoni au kuuza vitumbua na mbunye yako hakuna mwanaume yeyote ataitaka na mkosi wako kenge bluu,mimi nakupa mafunzo ambayo hakuna mwanaume yeyote atakupa hapa duniani chini ya jua wewe kaniki usiejijua au vipi? Mkara au Mkerewe wewe.
Pm yako inafanya kazi sasa?[emoji23] hadi leo ukikumbuka bado pressure inapanda?
unawezaje kuweka pesa kwenye nyumba ya watu wengi?Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
pitia mitaa ya kati kwanzaNiko poa[emoji4]
ndo maana yake!ha ha ha ha ha ha unazificha au unatembea nazo maana hatakulalamika umeibiwa huwez
wamenikombea fenicha zangu zoteee ndani!Una majanga gani? Naelekea kilingeni muda huu