Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
Akili yako unaijua MWENYEWE
Nenda mvuti kuna MTAALAMU hatari
 
Wewe ndo unatafutwa na anko, unaweka hela zote hizo ndani rafiki, kwa usawa huu jamanii!!! Pole zile TV asilia huwa zinaonyesha yule unayemuwaza hata kama siye.
Cc: Mshana jr
 
Varentina atakua mpigaji samahanai my bwst
edcb003a983a0885e4eb18659b4c9110.jpg
Varentina ndo nani?
 
Sasa nikusadieje kwa mfano. Mkamate mke wako ndo mwix namba moja loo
 
Kwa hiyo anakusugua weeee,mpaka unakolea au vipi?,halafu anakwambia honey leo sijisikii naona usubiri nitakupigia au vipi?,huku anakula kitoto kitamuu tena cha haja au vipi?,wewe kituntunya unasubiri huku wenzio wanapanuliwa usiku kucha,na wewe umekalia kujitia vidole mpaka vinakua vyekunduuu huku ukijitafuna vidole vyako ulivyopaka hina na havina thamani au vipi?kesho yake Ngabu anakwambia subiri baby nina mambo ya kikazi naenda nje ya nchi kidogo,nawe unajibu sawa honey lini utarudi?,unajibiwa nitakufahamisha baby,daah ama kweli wajinga waliwao hasa nyie wenye mistari mireeeefuuuu kule chinii au vipi?,kumbe lijamaa liko hapo hapo jirani linakula vichaza vidogo vidogo na wala halitaki manene ya mwili au vipi? mwisho wa siku unabwagwa kama robota la pamba huku ukitukana wanume wooote wa duniani ooh wabaya oooh hawafai oooh maadui ooooh sintompanulia uchi mwanaume mpaka nakufa oooh wanaume ni wanyama oooh kaima yangu naificha kuanzia sasa oooh bora iliwe na mchwa kaburini oooooh bora nisingezaliwa aaah aaah aaah,mwisho wa siku atakae kuoa ni muuza udaga au furu au dagaa sokoni,na ukileta zako anakufukuza unaenda kua mama ntilie sokoni au kuuza vitumbua na mbunye yako hakuna mwanaume yeyote ataitaka na mkosi wako kenge bluu,mimi nakupa mafunzo ambayo hakuna mwanaume yeyote atakupa hapa duniani chini ya jua wewe kaniki usiejijua au vipi? Mkara au Mkerewe wewe.
Khee mbona jazba sasa tena jamani?
 
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milioni 5 imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mke wangu tu ila nakaa kwenye nyumba ya familia.
sasa nimechanganyikiwa sijui nini cha kufanya maana ndo ilikua akiba yangu yote ;yani mpaka nawaza kama kuna tv asilia popote niende nimjue mwizi wangu .....msaada tafadhali wakuu
unawezaje kuweka pesa kwenye nyumba ya watu wengi?
 
Hapo ndipo utaona umuhimu wa BANK
Cha kufanya, omba kikao cha wote hapo cku ya jumamosi au jumapili, hakikisha wote wapo
Waelezee jinsi ulivo-hasle kupata hiyo ela, waambie live haupo tayari kupoteza kirahisi namna ile
Aliyechukua kama ni mke au yeyote ajisalimishe ndani ya cku mbili
Baada ya hapo isipopatikana kitakachompata mtu........ajskulaumu
Mtafute mshana akupe mwongozo
 
Kama nimeisoma hii thread mwanzo mwa wiki hii, mbona imejirudia? au majibu hayakuridhisha umeamua ku re-write
 
Back
Top Bottom