Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

What's the point of marrying/dating a woman u don't trust?
 
Unaekaje ndani mill5 ndugu?!hata kama mnaaminiana vipi sio salama hata kidogo kuna nyumba kuungua moto nk,at least ndani kuwe na laki tano ya dharura sio zaidi ya hapo.siku hizi ATM machine kila mahali ukaweke bado hela chumbani?!
 
bank hakuna mkuu mpaka uweke M5 kwenye kibubu? hata hao wanaokupa pole wanakupendelea maana inaonekana akili yako haiko sawa ww!
 
Kuna tracking device unaweza ukainstal kutoka playstore Lakin uwe unajua at least Namba moja iliyoandikwa kwenye noti mojawapo.
 
Varentina atakua mpigaji samahanai my bwst
edcb003a983a0885e4eb18659b4c9110.jpg

Pole siku nyingine weka bank usikae na hela nyingi hivo ndani
 
Hivi milioni tano ni pesa nyingi?.Ama kweli Magu kabana faranga.

Na simu ikiibiwa je?
Bora wachukue hiyo pesa kuliko Simu yangu achuku mpenzi Wangu mke mchumba kwa dk 30 nadedi nikisahau labda Niko ubungo nimetojea mbezi narud home chapu
 
Sio sabuni ya kipande ile kusema inaisha[emoji108]
Kwa hiyo anakusugua weeee,mpaka unakolea au vipi?,halafu anakwambia honey leo sijisikii naona usubiri nitakupigia au vipi?,huku anakula kitoto kitamuu tena cha haja au vipi?,wewe kituntunya unasubiri huku wenzio wanapanuliwa usiku kucha,na wewe umekalia kujitia vidole mpaka vinakua vyekunduuu huku ukijitafuna vidole vyako ulivyopaka hina na havina thamani au vipi?kesho yake Ngabu anakwambia subiri baby nina mambo ya kikazi naenda nje ya nchi kidogo,nawe unajibu sawa honey lini utarudi?,unajibiwa nitakufahamisha baby,daah ama kweli wajinga waliwao hasa nyie wenye mistari mireeeefuuuu kule chinii au vipi?,kumbe lijamaa liko hapo hapo jirani linakula vichaza vidogo vidogo na wala halitaki manene ya mwili au vipi? mwisho wa siku unabwagwa kama robota la pamba huku ukitukana wanume wooote wa duniani ooh wabaya oooh hawafai oooh maadui ooooh sintompanulia uchi mwanaume mpaka nakufa oooh wanaume ni wanyama oooh kaima yangu naificha kuanzia sasa oooh bora iliwe na mchwa kaburini oooooh bora nisingezaliwa aaah aaah aaah,mwisho wa siku atakae kuoa ni muuza udaga au furu au dagaa sokoni,na ukileta zako anakufukuza unaenda kua mama ntilie sokoni au kuuza vitumbua na mbunye yako hakuna mwanaume yeyote ataitaka na mkosi wako kenge bluu,mimi nakupa mafunzo ambayo hakuna mwanaume yeyote atakupa hapa duniani chini ya jua wewe kaniki usiejijua au vipi? Mkara au Mkerewe wewe.
 
Bora wachukue hiyo pesa kuliko Simu yangu achuku mpenzi Wangu mke mchumba kwa dk 30 nadedi nikisahau labda Niko ubungo nimetojea mbezi narud home chapu
Mbona hueleweki we ndugu?hebu rudia kuandika bhana au ?
 
NINAMFAHAMU FIKA NDANI NJE ILA YUKO NJE MKOA NINAOISHI KILOMITA 237 KUTOKA HAPA NILIPO.
Basi huyo ni kwishney,kesho ulete mrejesho na shs 77 tu za majini au vipi? yaani shilingi sabini na saba tu,baada ya hapo utamalizia hesabu.
 
Back
Top Bottom