Jidanganyeee.....Sasa hako si kadawa kadogo sana, akikibinua kinu akakiweka mlangoni radi hazimpati ngo!
Oghophaaaaaaa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganyeee.....Sasa hako si kadawa kadogo sana, akikibinua kinu akakiweka mlangoni radi hazimpati ngo!
Shika adabu yako usitutie ila. Waliokuibia wakuja wenzio. Hakuna Mswahili wa kisiju ambae ni mwizi.Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili kmmk
😅😅Cc Accumen Mo darcity ndugu za hawa majitu wezi sana
Kwani kawatia?Shika adabu yako usitutie ila. Waliokuibia wakuja wenzio. Hakuna Mswahili wa kisiju ambae ni mwizi.
Kwanza sisi na ng'ombe ni vitu tofauti kabisa, muibiane wenyewe huko msingizie waswahili.
Punguwani wahed.
Nenda kwetu KIGOMAZ hutaibiwa tena ng'ombe zako. Babu zetu walituachia ulinzi mnawapuuzaza. Ngo'ombe mmoja alitosha kulinda mifugo yako na shamba lako lote na mali zako. Kama una Roho ngumu wadedishe waende kwa Mjomba Magu.Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili kmmk
Wasukuma mbona wako huko siku hizi dada yangu kipenziShika adabu yako usitutie ila. Waliokuibia wakuja wenzio. Hakuna Mswahili wa kisiju ambae ni mwizi.
Kwanza sisi na ng'ombe ni vitu tofauti kabisa, muibiane wenyewe huko msingizie waswahili.
Punguwani wahed.
Wewe Loitimitimi hujawahi iba hata njiwa kumbaffff wewe. MbusiiiCc Accumen Mo darcity ndugu za hawa majitu wezi sana
Yes, but the unfortunately unaweza kuitiwa tu mwizi kisha mtu ana jam na wewe na since watu tuna mentality kama yako basi ukapoteza uhai bila hatia.Aisee!! Pole sana wezi wanarudisha sana nyuma maendeleo ya watu. Nikiona sehemu wamekamata mwizi nawachangia pesa ya petrol
Mbona unaandika kimzahamzaha, ni ng'ombe kweli au mamii uliyemuoa kwa ng😱mbe 10 katoroshwa?Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili kmmk
HahaaaPole mkui,next time wawekee gps track