Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili kmmk
Shika adabu yako usitutie ila. Waliokuibia wakuja wenzio. Hakuna Mswahili wa kisiju ambae ni mwizi.

Kwanza sisi na ng'ombe ni vitu tofauti kabisa, muibiane wenyewe huko msingizie waswahili.

Punguwani wahed.
 
Kwani kawatia?
 
Nenda kwetu KIGOMAZ hutaibiwa tena ng'ombe zako. Babu zetu walituachia ulinzi mnawapuuzaza. Ngo'ombe mmoja alitosha kulinda mifugo yako na shamba lako lote na mali zako. Kama una Roho ngumu wadedishe waende kwa Mjomba Magu.
Kuna mtu wangu wa karibu alishiriki kusafirisha msumeno wa wizi, mda huu jamaa ni marehemu. Ila kama una roho ngumu au roho ya kichawi ili udili na wanaokuchawia.
 
Aisee!! Pole sana wezi wanarudisha sana nyuma maendeleo ya watu. Nikiona sehemu wamekamata mwizi nawachangia pesa ya petrol
 
Shika adabu yako usitutie ila. Waliokuibia wakuja wenzio. Hakuna Mswahili wa kisiju ambae ni mwizi.

Kwanza sisi na ng'ombe ni vitu tofauti kabisa, muibiane wenyewe huko msingizie waswahili.

Punguwani wahed.
Wasukuma mbona wako huko siku hizi dada yangu kipenzi
Wezi watakuwa wasukuma au wale wagogo kutoka bahi
Kiukweli watu wa kisiju hawana mambo ya kuiba mifugo,uwizi wa mifugo mhalifu lazima awe mfugaji naye

Ova
 
Aisee!! Pole sana wezi wanarudisha sana nyuma maendeleo ya watu. Nikiona sehemu wamekamata mwizi nawachangia pesa ya petrol
Yes, but the unfortunately unaweza kuitiwa tu mwizi kisha mtu ana jam na wewe na since watu tuna mentality kama yako basi ukapoteza uhai bila hatia.

Inaweza kukutokea wewe au mpendwa wako. So next time usifanye maamuzi tu bila kuwa na proof. Bora uiepuke hiyo damu.
 
Mtafute yule jamaa aliesema gari lake limegongwa Arusha na akatoa siku 3 kwa alieligonga ajitokeze
 
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili kmmk
Mbona unaandika kimzahamzaha, ni ng'ombe kweli au mamii uliyemuoa kwa ng😱mbe 10 katoroshwa?
 
Natokea kwenye jamii ya asili ya wizi wa ng'ombe (kuria).
Hiki ndicho nilichokibaini kuhusu wizi wa ng'ombe.
wezi wa mifugo lazima wawe na mwenyeji. So anza na cycle ya marafiki zako,wafanyakazi pamoja majirani.
pole.
 
Back
Top Bottom