Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Hatimae wana kisiju wamekunyoosha vilivyo, wewe si ulienda kisiju kuhesabu misikiti sasa wahesabu ng'ombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magogo hasa hayo ya bahi ni majizi kweli kweli ya mifugo, yalinipiga nguruwe 10Wasukuma mbona wako huko siku hizi dada yangu kipenzi
Wezi watakuwa wasukuma au wale wagogo kutoka bahi
Kiukweli watu wa kisiju hawana mambo ya kuiba mifugo,uwizi wa mifugo mhalifu lazima awe mfugaji naye
Ova
Please naomba namba yako kama unajua jinsi ya kuzindika mifugoMifugo yangu yote nimeizindika na atakaye iba tu analo, pia atakayekula nyama yake analo, mwendo wa kikamanda tu, sitaki loss.
-Sifugii wezi kbbk
-Sisi wafugaji hatatukifika vingunguti tukiangalia ngombe tunajui, ogopa kula ngombe mkorofi yule anayekimbia ovyo!
Mzee nakuomba namba yako ikiwezekana nisaidie wezi wananifilisi kila sikuPanda basi mpaka Sumbawanga. Ukifika panda Costa hadi Namanyere, ukifika uliza mtaa wa Nkomolo kwa Mzeee Mwanawima. Hapo utakua tayari una zana za Watesi wako Wachape Radi ya Afu tatu tuuu ya kubomoa nyumba zao na mali zao. Wataaanza kukutafuta wenyewe kulipa Ng'ombe wako
Fuata maelekezo kwenye uzi tu hakuna connection hapoMzee nakuomba namba yako ikiwezekana nisaidie wezi wananifilisi kila siku
Ukiolewa na mwanaume wa kigogo Kila siku ni mwendo wa minyama nyama mezanii no dagaa, kabeji, kisamvu etcWagogo ni majambazi ya mifugo
Hao wameshachinjwa wameingiza kwenye mabucha tayari
Asante mkuu. Kawaida tu.Pole sana mkuu
SawaAsante mkuu. Kawaida tu.
Acha ujinga wewe, utaibiwa.Please naomba namba yako kama unajua jinsi ya kuzindika mifugo
Itabidi awe anatembea na kinu!Sasa hako si kadawa kadogo sana, akikibinua kinu akakiweka mlangoni radi hazimpati ngo!
Waswahili na ng'ombe wapi na wapi? Walioiba watakuwa wageni wenzake hasa toka jamii za wafugaji wanaojua kuswaga ng'ombe.Cc Accumen Mo darcity ndugu za hawa majitu wezi sana