Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
Na wewe ni nani mchina au Muhindi??
 
Wakati wewe ukiendelea kukata kiuno!... Juu ya mfugo mmoja huko chumbani.....

Wajasiriamari kadhaa walikuwa wakikata Shauri namna sahihi ya kuondosha mifugo iliyosalia zizini!
 
Duh yaani unafuga kwa pesa zako but bado watu wanakuwinda
 
Nasikita mpaka wa Leo sijapata Ng'ombe hata mmoja
 
Mwenzangu alipigwa mbuzi 100 wa laki na nusu laki na nusu kila mmoja.
Kukaa Dar then umeweka mifugo nje ya mji eti Kuna mlinzi ni bahati.
 
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
Waswahili niwatu wa namna gani?tanzania hii wezi wa ng,ombe ni
Wakurya
Wasukuma
Wagogo
Madai
Mang,ati
Barabaighi
Kama uko na jirani wa hayo makabila fatilia
 
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wacha nikupe POLE SANA .Kuna kitu kimoja mwizi yyote hatoki mbali ni mtu wako wa karibu sana na anakujua in out kwa mfano mimi hata sijui kama una mifugo au unafuga ngombe kama hukunambia so ngombe wako watafute kwa ndugu zako aua jamaa zako wa karibu na hilo domo lako punguza kusema sio kila kitu utamwambia mtu kesho nakwenda kuuza ngombe wangu chunga sana.
 
Wakuu nimesamehe Ng'ombe walioibwa aisee maana kila nikienda kufuatilia Ni hela unatakiwa tu
 
Back
Top Bottom