Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

mkuu ukejiongeza yaan macbook pro for 250k...yaan na wewe ukatuma pesa kabsa...aseeeh polee
 
Sidhani kama ni askari, atakuwa kaiba hata hizo sare;
dawa ni kumvimbisha tumbo lake tu.
 
payment must be after delivery .. na hakuna kutoa advance payment hutaki hakuna biashara
 
Thanks
 
Eti bi mgeni! kidogo tu ushakimbilia profile yangu...isije kuwa we ndo mgeni humu!

Wewe niwakupuuzwa tu, profile yako imefanya nini? Hata mwaka huna katika hii forum halafu unataka kunambia nini zumbukuku wewe!
 
Mkuu maduka yapo yanayouza hivyo vitu,tatizo mnapenda vitu vya bei rahisi haya mambo yafikie mahali yasijirudie.
 
Nenda police ka report , waambie wakupe form ya uchunguzi wa simu za huyo mwizi, watazijaza chukua polisi mmoja nenda kwa hawa wanamitandao wata ku direct kwenye special department ambayo watakupa in depth info za huyo mtu kuanzia locations na circles za huyo mtuhumiwa.

Kwa kufanya hivyo hatofurukuta.

Jaribu.
 
Mpige kipapai akomeee......mvimbishe pumbu
 
Waswahili tumejaa sana wizi na utapeli...ukiwa mkoani na unahitaji huduma zinazohusiana na Mac kwepa sana Wabongo...ni Wahuni na Matapeli wakubwa.

Alafu njia yao kubwa ya kuliza wenzao ni kwenye bei....ishu ya milioni au zaidi atakwambia anaiweza kwa laki tatu au mbili...ukijichanganya tu umeliwa....

I digital walikuwa na ofisi Arusha ila naona sasa wameifunga, vijana wao walikuwa na utapeli huo.

Wenzetu Wahindi ni waaminifu sana....nimedili na Wabongo mara tatu kwa ishu za Mac na softwares zake, na zote nimepigwa...na nimedili na Wahindi kwa mara kadhaa zote nimepata nilichohitaji....wao kama hawawezi wanakwambia kabisa ukweli na unaenda kutafuta kwingine.

Muhindi atakupa bei kubwa lakini ni ya uhakika, kama huna pesa ukajipange urudi...Waswahili wenzetu wamekalia wizi na utapeli tu...jitu linachukua pesa, kazi linashindwa kukamilisha, pesa harudishi...alafu anajiona yeye ndio mjanja...au anakuwekea Software nusu, hakwambii...ukianza kutumia ndio unagundua ina mapungufu...umeshamlipa....inakera na kuumiza sana.
 
Pole mkuu.
 
Pia mimi kanitapeli vivyo hivo
Alipost laptop macbook air kwa tsh200,000, nikamtafuta kwa +255 718 274 647 na akadai yuko ludewa na akadai nimtumie pesa nusu then nikipokea mzigo nitammalizia pesa yake ,nikatuma pesa jana mchana na akanieleza kwamba atanipa utaratibu, huo utaratibu sijapatiwa mpaka sasa na nikimpigia hapokei simu...
NINACHOSHAURI NI KWAMBA TUWE MAKINI JAMANI.
 
NA HIZI NDIO PICHA ALIZONITUMIA, NA KUDAI ALIKUA ANAKABIDHI WATEJA LAPTOP
 

Attachments

  • 1469910360412.jpg
    111.5 KB · Views: 72
  • 1469910407080.jpg
    75.1 KB · Views: 66
  • 1469910433886.jpg
    113.2 KB · Views: 66
Huyu jamaa atakuwa ndie yule anapost vitu toka Iringa, huwa viko weird cheap...
Nilichoka kuona galaxy s7 edge eti 300,000/=
 

Attachments

  • upload_2016-7-30_23-52-30.png
    146.1 KB · Views: 78
Nasikitika wakuu mmeibiwa kizembe na kwa tamaa ya shortcut.A simple reasoning was just more than enough kugundua kuwa bei za mshkaji ni cheap mno

Well,wengine tujifunzie hapa
 
Mamlaka hasa TCRA polisi na mitandao husika wakiamua kutoa msaada huyu anakamatwa kama bata
Kiintaljensia lazima uhingie mkenge kwa jinsi ya hayo maongezi yalivyo lkn lkn huu wizi wamelizwa wengi si kwa kukosa umakini Mmh!
Ni kupenda vya bei ya chini hali unajua hiki akina thamani ya bei hii...
Mnunuzi alijiuliza akaona wacha nijaribu japo alishashtuka,Sasa mamlaka usika waachwe wadili na mengine....
Laki mbili na nusu zake Mwenyezi Miungu atajua jinsi ya kumsadia..
 
Mripoti tcra au polisi atashikwa mapema sana. TCRA wataangalia location yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…