Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksMkuu, nafikiri utaratibu wa kutoa taarifa ni kuwa-pm Mods, na ili ufanikiwe hili uongozi umetutahadharisha mapema kwamba unapofanya biashara ya aina yoyote kama unona kuna ulazima ni busara ukaushirikisha uongozi kwa namna moja ama nyingine ili yanapotokea makosa uongozi unajua utakusaidia kwa njia ipi...nafikiri ni hivyo tu kwa ufupi.
Eti bi mgeni! kidogo tu ushakimbilia profile yangu...isije kuwa we ndo mgeni humu!
Kwa hiyo bei kitu cha kwanza ningefikiria ni kuwa hiyo lap top ni mbovu.We jamaa vp
Macbook laki 2.5 ukakubali 😀😀
Uliyataka mwenyewe
Bei ndogo maana yake hali ya pcsio nzuri ndio maana anauza akuangushie jumba bovuKwa hiyo bei kitu cha kwanza ningefikiria ni kuwa hiyo lap top ni mbovu.
Pole mkuu.Habarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa faida ya wengine nitaomba Uongozi wa Jamii Forum Uache huu uzi hapa ili watu wajifunze na wajue ili wawe makini, nitasimlia kila kitu na nitaweka ushahidi hapa
Mimi ni mmoja ya watu wanao tumia sana Application ya Kupatana katika kununua vitu,Siku za hivi karibuni niliona kitu cha ajabu kupitia kupatana niliona mtu anapost anauza vitu vya gharama kwa bei nafuu,Cha kwanza nilicho kutana nacho niliona akitangaza kuuza laptop Mackbook Pro,500 HDD,8GB RAM,CORE i7 kwa laki 2.5,pia laptop nyingine Mackbook ila ilikuwa na 1Tb hard disk kwa laki 4.5,nilishangaa na wala sikuamini amini nikaamua kumtafuta kwa kumcondact kupitia namba alizo ziweka Kupatana nikamtext akajibu,nikamuliza unauzaje hio laptop akaniambia laki 2.5 sikuamini nikarudia tena akajibu vile vile,nikamwambia nitumie picha akanitumia picha,nikamwambia wewe uko wapi akasema yeye yupo Njombe ludewa na nje ya biashara hii yeye ni askari! View attachment 329306View attachment 329307View attachment 329308View attachment 329309
Baada ya hapo niliamua kumtext whatsap ndipo alipo niambia kua yeye ni askari na anafanya biashara ya vitu hvyo na kunitumia vitambulisho vyakeView attachment 329310View attachment 329311
Hapo Nikawa na inamani kidogo ila wasi wasi wangu ulikuwa ni kwanini auze vitu vya gharama kwa Bei rahisi hivi? sikutilia maanani sana nikasema labda ni mtu mwenye shida ya haraka na pesa
Inaendelea
Pia mimi kanitapeli vivyo hivoHabarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa faida ya wengine nitaomba Uongozi wa Jamii Forum Uache huu uzi hapa ili watu wajifunze na wajue ili wawe makini, nitasimlia kila kitu na nitaweka ushahidi hapa
Mimi ni mmoja ya watu wanao tumia sana Application ya Kupatana katika kununua vitu,Siku za hivi karibuni niliona kitu cha ajabu kupitia kupatana niliona mtu anapost anauza vitu vya gharama kwa bei nafuu,Cha kwanza nilicho kutana nacho niliona akitangaza kuuza laptop Mackbook Pro,500 HDD,8GB RAM,CORE i7 kwa laki 2.5,pia laptop nyingine Mackbook ila ilikuwa na 1Tb hard disk kwa laki 4.5,nilishangaa na wala sikuamini amini nikaamua kumtafuta kwa kumcondact kupitia namba alizo ziweka Kupatana nikamtext akajibu,nikamuliza unauzaje hio laptop akaniambia laki 2.5 sikuamini nikarudia tena akajibu vile vile,nikamwambia nitumie picha akanitumia picha,nikamwambia wewe uko wapi akasema yeye yupo Njombe ludewa na nje ya biashara hii yeye ni askari! View attachment 329306View attachment 329307View attachment 329308View attachment 329309
Baada ya hapo niliamua kumtext whatsap ndipo alipo niambia kua yeye ni askari na anafanya biashara ya vitu hvyo na kunitumia vitambulisho vyakeView attachment 329310View attachment 329311
Hapo Nikawa na inamani kidogo ila wasi wasi wangu ulikuwa ni kwanini auze vitu vya gharama kwa Bei rahisi hivi? sikutilia maanani sana nikasema labda ni mtu mwenye shida ya haraka na pesa
Inaendelea
NA HIZI NDIO PICHA ALIZONITUMIA, NA KUDAI ALIKUA ANAKABIDHI WATEJA LAPTOPHabarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa faida ya wengine nitaomba Uongozi wa Jamii Forum Uache huu uzi hapa ili watu wajifunze na wajue ili wawe makini, nitasimlia kila kitu na nitaweka ushahidi hapa
Mimi ni mmoja ya watu wanao tumia sana Application ya Kupatana katika kununua vitu,Siku za hivi karibuni niliona kitu cha ajabu kupitia kupatana niliona mtu anapost anauza vitu vya gharama kwa bei nafuu,Cha kwanza nilicho kutana nacho niliona akitangaza kuuza laptop Mackbook Pro,500 HDD,8GB RAM,CORE i7 kwa laki 2.5,pia laptop nyingine Mackbook ila ilikuwa na 1Tb hard disk kwa laki 4.5,nilishangaa na wala sikuamini amini nikaamua kumtafuta kwa kumcondact kupitia namba alizo ziweka Kupatana nikamtext akajibu,nikamuliza unauzaje hio laptop akaniambia laki 2.5 sikuamini nikarudia tena akajibu vile vile,nikamwambia nitumie picha akanitumia picha,nikamwambia wewe uko wapi akasema yeye yupo Njombe ludewa na nje ya biashara hii yeye ni askari! View attachment 329306View attachment 329307View attachment 329308View attachment 329309
Baada ya hapo niliamua kumtext whatsap ndipo alipo niambia kua yeye ni askari na anafanya biashara ya vitu hvyo na kunitumia vitambulisho vyakeView attachment 329310View attachment 329311
Hapo Nikawa na inamani kidogo ila wasi wasi wangu ulikuwa ni kwanini auze vitu vya gharama kwa Bei rahisi hivi? sikutilia maanani sana nikasema labda ni mtu mwenye shida ya haraka na pesa
Inaendelea
Kiintaljensia lazima uhingie mkenge kwa jinsi ya hayo maongezi yalivyo lkn lkn huu wizi wamelizwa wengi si kwa kukosa umakini Mmh!Mamlaka hasa TCRA polisi na mitandao husika wakiamua kutoa msaada huyu anakamatwa kama bata
Mripoti tcra au polisi atashikwa mapema sana. TCRA wataangalia location yakeMkuu nimeiona number aliyo tumia kwangu nii hii hapa... +255 788 570 586..
Alipost simu akiwa anauza.. Nikamcheck.. Na hiyo Number ndo ali ipost pale... Nakumbuka alikuwa anauza samsung A5.. Akidai anauza 250.. Nikamwambia upo wapi,, akasema yeye yupo Iringa bt mm nimtumie hela nusu then akanitumia mzigo ndani ya masaa saba Nishapata mzigo wangu.. Nikamwambia naomba ntumie picha ya hiyoo simu whatsapp .. Akanitumia..
Hapo ndo nikashtuka, kwa sababu ni zile picha za gugo then kama ame crop.. Nikawa na mashaka na biashara yake.. Hapo ndo akaanza kunivuta na kuniambia yeye askari si niwe na amani kwa usalama wa pesa yangu akanitumia na vitambulisho hivo...
Lakini roho yangu ilisha ingia mashaka....
Nikamwambia Asante mkuu.. Next time.. Tunafanya biashara...
Nikawa nimepona kuingia kwenye mikono ya huyo ngiri...