Lagrangian
Member
- Jul 5, 2019
- 79
- 66
Wasaalm wanabodi
Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.
Mnakaribishwa PM
Picha
Update*
November 8, 2021
Wakuu nashkuru sana kwa maoni na ushauri. Wezi bado sijawapata na wataalam kadhaa wamepatikana. Najishauri niwafanye nini hawa wezi.
Muda mwingine nawaza kuwaacha ili nyumba yangu isije ingia mikosi na nuksi.
Nitaleta mrejesho siku za usoni. Shukrani sana wakubwa.