Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

Wasaalm wanabodi

Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.

Mnakaribishwa PM

PichaView attachment 1994657
Mkuu hata wewe ni mwizi katika nafasi yako. Potezea tu pia hao waliokuibia wataibiwa tu na hao waliowaibia nao watalizwa. Iyo ndo faraja.
 
Back
Top Bottom