Nimeibiwa pesa zangu kwenye Kibubu na 'Chuma Ulete'

Nilijibana Sana nikawa najisavu elf 20 kwa kum Kil siku just nilifunjj kibubu nikakuta m1.4 wakt nilijuwa kbsa lzm IPO m 2 hv
 

Attachments

  • IMG_20240611_215016_1.jpg
    1.5 MB · Views: 11
  • IMG_20240611_215019_0.jpg
    1.5 MB · Views: 10
niliwah kusikia kuwa vipo vibubu vinauzwa vikiwa vishachezewa tayari, ukiweka fedha unawawekea wakuu
 
Dunia haina Siri,,kuna mjanja amekuchora kitambo kazikwapua kiulaini
 
Vibubu, fundi akutengenezee hapo hapo na uondoke nacho, sio ununue vile ambavyo viko tayari. chuma ulete kweli yupo
 
Ila kuna watu wanajitia wajuzi kwenye nyuzi za wenzao. Eti 'utakuwa uliibiwa', mara 'ulikutana na mjanja'. Sometimes unakuta huyo aliyepoteza pesa anaishi peke yake, so hana risk ya kuibiwa na ndugu wa karibu.

Na kama mwizi anatokea nje, iweje aibe pesa kadhaa halafu akuachie nyingine? Yaani una 2 M, aibe laki 6 tu? Hakuna mwizi mjinga wa hivyo. Huyo ni Reap bring tu.
 
Kaibiwa na mke au tuseme wana familia, huwa wanajua mbinu za kutoa hela humu ndani.

Hela itunzwe benki au huku mitandaoni.

Watu wana mbinu za kuiba
 
Hii nchi bado wajinga wengi tatizo sio katiba wala CCM. Watu na ndevu zao wanaamini uzwazwa wa Chuma ulete. Smh
 
Mshauri asiweke tena kwa kibubu. Amps mtu amuwekee ili zikipotea amdai.
 
Aint no such thing as chuma ulete. Wabongo tunahusisha failure kwenye maisha na uchawi badala ya kuwajibika. Either kala yeye mwenyewe bila kuwa na nidham au kaibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…