Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
yaani si ndo nilijiona nimepata kumbe nimepatwa😂😂Wauza vibubu baadhi huwa wanaeka chuma ulete ndani ya vibubu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani si ndo nilijiona nimepata kumbe nimepatwa😂😂Wauza vibubu baadhi huwa wanaeka chuma ulete ndani ya vibubu
Kwa nini mchina😁😁😁😁Sawa mchina
Nchi imejaa imani za kishenzi ndiyo maana watu wanaua mpaka watoto wadogo wenye ulemavu wa ngozi. Tanzania inatakiwa kila shule kuanznia darasa la kwanza wanafunzi wafundishwe kujitambua na kujiondoa kwenye imani potfu za ushirikina.Wakuu nina swali,
Kuna jamaa yangu amenihadithia kuwa alikuwa anatunza pesa kwenye Kibubu kwa muda wa miezi kadhaa na kwa kipindi hicho alikuwa anatumbukiza noti za pesa na coins pia. Lakini cha ajabu alivyokuja kuvunja alikuta coins mbili tu na moja ya Tshs. 200 ina tobo katikati.
Hivyo swali langu ni: Hili suala la chuma ulete ni kweli lipo? Story ni nyingi mtaani kuhusu kuibiwa na chuma ulete, ni kwamba uchawi upo ama ni mtu wa karibu anaiba? ama kuna janjajanja inayofanyika hatuijui?
Ahsante.