Nimeibiwa pesa zangu kwenye Kibubu na 'Chuma Ulete'

Hii nchi ina watu wajinga sana, hakuna tafiti yeyote ila watu wanakaa na imani za kipuuzi!
Ndo wale wale wanazidishia watu chenji baadaye utasikia chuma ulete, stupid!
 
Chuma ulete ipo lakini kama unamchepuko fundi Selemala na Kibubu akitengeneza yeye "I can't help it"
 
Ngoja nijaribu angalau niwe na ushuhuda.
Nitakuwa naweka 100 kila siku kwa siku 30.
 
Nchi imejaa imani za kishenzi ndiyo maana watu wanaua mpaka watoto wadogo wenye ulemavu wa ngozi. Tanzania inatakiwa kila shule kuanznia darasa la kwanza wanafunzi wafundishwe kujitambua na kujiondoa kwenye imani potfu za ushirikina.
 
Kuna chuma ulete kuu, ipo ndani ya Serikali , inatafuna pesa za walipakodi bila huruma, hii tukipata dawa yake nchi itakua tajiri sana, chuma ulete ipo
 
Ni raia wamekusoma wametoka na pesa. Acha ujinga. Ndiyo nyie mnaua albino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…