Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

Unatembeaje na fedha taslim kiasi hicho kwenye hii Dunia ya sasa yenye teknolojia ya kila aina ya money transfer?
Una transfer vipi fedha kabla ya hio pesa unayo transfer as value ujaiweka kwanza physical, so utawekaje fedha hio physical bila kutembeanayo.

And this you need to train your brain to think.
 
Andika barua ya mashtaka yako mkabizi huyo.
Atamaliza kila kitu.
 

Attachments

  • FB_IMG_17159668130381519.jpg
    FB_IMG_17159668130381519.jpg
    215.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom