Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

Ninavyofahamu sis wabongo huwezi kuibiwa hela nyingi hivyo halafu ndani ya nusu saa tu kapata muda wa kuingia sosho midia.
Kweli mkuu

Niliibiwa 2.5m jamani nililia mweee mpaka majirani wakahisi nimefiwa sikushika simu wiki nzima nawaza ela zangu
 








MENTAL ILLNESS IS REAL.
 
Back
Top Bottom