Pia kama utaenda unatakiwa uwe na imei ya simu yakoHabari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko ilala boma wanajiita wetrack, nimewasiliana nao wananiambia kuwa niwape asilimia 10 ya gharama ya simu, shida sio gharama je kuna yeyote ambaye amewahi kupata simu yake kupitia Hawa jamaa au na wao ni kama polisi wetu wa njoo kesho rudi kesho kutwa.
Naombeni ushuhuda kabla sijapata maumivu kwa mara
Basi nenda utalipa ikipatikanaNdio wameniambia hivyo
Wana track hawana longolongoHabari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko ilala boma wanajiita wetrack, nimewasiliana nao wananiambia kuwa niwape asilimia 10 ya gharama ya simu, shida sio gharama je kuna yeyote ambaye amewahi kupata simu yake kupitia Hawa jamaa au na wao ni kama polisi wetu wa njoo kesho rudi kesho kutwa.
Naombeni ushuhuda kabla sijapata maumivu kwa mara ya pili.
Asanteni
Unaenda kutapeliwa mkuuApana ni kwamba unawapa Pesa ili waanze zoezi la kutrack
Pole mkuu, Google Pixel.08 pro ndo simu nayotaka kuchukua soonAsante mkuu
aifunge tu hiyo simu hatoipata?Hakuna njia yoyote ya kutrack simu kwa kutumia imei namba ikiwa simu imezimwa na location imezimwa.
Imei namba si kitu ni namba tu kama namba ya Nida hivi yaani ni utambulisho wa simu kwenye kampuni iliyoizalisha na wala haijaunganishwa na mifumo yoyote ya satellite.
Ndio maana unaanza kwa kuwalipa hela kwanza lakini ukienda wata track na watakupa location ya simu yako kabla haijazimwa yaani mara ya mwisho kuwa online. Na hapo kazi yao itakuwa imeisha na hela yako itakuwa imeliwa.
Watu wanapoteza simu kila siku ila suala la kuipata hio huwa ni story tu za vijiweni.
Kama bado unataka kuwapa hela yako basi wape baada ta kazi ama back up taarifa zako za muhimu baada ya kuongezea hio hela ununue simu nyingine maisha yaendelee
Maliza tu round aseme location ili usogee maeneo hayo uhamishe umiliki fasterPole mkuu, Google Pixel.08 pro ndo simu nayotaka kuchukua soon
Pole yake aaseee tunasema hio imeenda mzey!
πππππ acha ufala, Me naingia dukani mzeeMaliza tu round aseme location ili usogee maeneo hayo uhamishe umiliki faster
Duu hapo chengaApana ni kwamba unawapa Pesa ili waanze zoezi la kutrack