Nimeibiwa simu, je hawa Wetrack wanaweza kunisaidia?

Nimeibiwa simu, je hawa Wetrack wanaweza kunisaidia?

Huu ni ukweli mchungu sana. Anaesema polisi sijui ni kazi yao labda ni ndugu zake. Kama hawa polisi wangekuwa wanafanya inavyopasa watu waaingekuwa na wasi wanaposahau cm mahali au cm zingeonekana kaa la moto. Pia makampuni ya cm yaje na technology mpya màna Imei imepitwa na wakati. Wasijidai wanaboresha tuu kuongeza idadi ya camera mara madoidi bila kuangalia security features pia.
Uwezekano wa kuipata simu iliyoibiwa upo kabisa endapo kama IMEI number ya simu iliyoibiwa haijabadilishwa. Tatizo lililopo kwa Askari Polisi wa Tz kwa Maoni yangu ni:-
1. Hawana vifaa Bora na vya kutosha katika kufuatilia simu zilizoibiwa.
2. Hawana wataalamu wabobevu wa kutosha katika masuala haya ya ICT, hususani kwenye Mobile Equipments Kama simu za mkononi.
3. Rushwa iliyokithiri na iliyoligubika kabisa Jeshi la Polisi.
 
Huu ni ukweli mchungu sana. Anaesema polisi sijui ni kazi yao labda ni ndugu zake. Kama hawa polisi wangekuwa wanafanya inavyopasa watu waaingekuwa na wasi wanaposahau cm mahali au cm zingeonekana kaa la moto. Pia makampuni ya cm yaje na technology mpya màna Imei imepitwa na wakati. Wasijidai wanaboresha tuu kuongeza idadi ya camera mara madoidi bila kuangalia security features pia.
Yes uko sahihi.
Sehemu kama Dubai ukisahau simu yako mahali hakuna anayethubutu kuichukua,utaikuta palepale ulipoiacha iwe mgahawani iwe sokoni au kwenye basi la abiria usipokuja kuichukua wanaipeleka polisi kisha wanakutafuta ukachukue simu yako.
Sababu wako vizuri kwenye teknolojia tofauti na sisi ni bla bla tu watu wanatumia hiyo mianya kuwalia watu pesa kwa kucheza na hisia za wahanga walioibiwa simu.
 
Hata hao POlisi Pia Ni kanjanja Tu. Utazungushwa mpaka ukate Tamaa kila siku watakua wanakuomba Pesa... na hakuna lolote
Mimi nafanya kazi zasimu... hata wakiipata hawatoweza kukupa mpaka polisi... nakushauri kaongee napolisi waupelelez
 
sio kweli, kama ni kweli kwa nini, kusiwe na mkataba wa kulipa Baada ya simu kupatikana. Hii ni kamali unapoteza Simu na pesa Pia Unapoteza.
Endelea kukaza fuvu. Naongea kama mtu niliyewahi kuibiwa simu na kuwatumia. Mnajidai ujuaji wa kila kitu.
 
Back
Top Bottom