Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli security features hazitoshi angalau iphone wamejitahidi, hizo za kichina kuna baadhi uki restore imei zinabadilika ama security features kufutika piaNi wachache sana sikuhizi atumue simu ya wizi/kuikota n.k bila kubadilisha imei..
Hio kwakweli ni kubeti, tangu nilipoibiwaga simu miaka hio na kuvuruga mishe zangu zote, Mpk leo sina huruma na mwizi, naona maumivu yako, tofauti tuu na simu vitu vyako,
Ifike mahali kampuni za simu zije na technolojia ya kueleweka ya security ya simu kama simu, sio kutudanganya na viji privacy vinavyozibuliwa na mawinga k.koo, wabongo wengi security tunayotaka ni ya hii mijizi, kuhusu sijui security ya ma faili ni wachache, wengi ni wazee wa pilau, msg za madeni na michepuko...
Yaani inatakiwa mtu anaiba simu anaambulia kioo tuu kama spear, motherboard inakua locked full.
Pole sana.
Kwani inauzwaje?!Pole mkuu, Google Pixel.08 pro ndo simu nayotaka kuchukua soon
Kioo kinakuaje spear? Yaani mkuki.Ni wachache sana sikuhizi atumue simu ya wizi/kuikota n.k bila kubadilisha imei..
Hio kwakweli ni kubeti, tangu nilipoibiwaga simu miaka hio na kuvuruga mishe zangu zote, Mpk leo sina huruma na mwizi, naona maumivu yako, tofauti tuu na simu vitu vyako,
Ifike mahali kampuni za simu zije na technolojia ya kueleweka ya security ya simu kama simu, sio kutudanganya na viji privacy vinavyozibuliwa na mawinga k.koo, wabongo wengi security tunayotaka ni ya hii mijizi, kuhusu sijui security ya ma faili ni wachache, wengi ni wazee wa pilau, msg za madeni na michepuko...
Yaani inatakiwa mtu anaiba simu anaambulia kioo tuu kama spear, motherboard inakua locked full.
Pole sana.
Usiseme hakuna sema hujuiHakuna njia yoyote ya kutrack simu kwa kutumia imei namba ikiwa simu imezimwa na location imezimwa.
Imei namba si kitu ni namba tu kama namba ya Nida hivi yaani ni utambulisho wa simu kwenye kampuni iliyoizalisha na wala haijaunganishwa na mifumo yoyote ya satellite.
Ndio maana unaanza kwa kuwalipa hela kwanza lakini ukienda wata track na watakupa location ya simu yako kabla haijazimwa yaani mara ya mwisho kuwa online. Na hapo kazi yao itakuwa imeisha na hela yako itakuwa imeliwa.
Watu wanapoteza simu kila siku ila suala la kuipata hio huwa ni story tu za vijiweni.
Kama bado unataka kuwapa hela yako basi wape baada ta kazi ama back up taarifa zako za muhimu baada ya kuongezea hio hela ununue simu nyingine maisha yaendelee
Mkuu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukurudishia simu yako uliyoibiwa pole sana .Habari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko ilala boma wanajiita wetrack. Nmewasiliana nao wananiambia kuwa niwape asilimia 10 ya gharama ya simu. Shida sio gharama je kuna yeyote ambaye amewahi kupata simu yake kupitia Hawa jamaa au na wao ni kama polisi wetu wa njoo kesho rudi kesho kutwa.
Naombeni ushuhuda kabla sijapata maumivu kwa mara ya pili.
Asanteni
2m +Kwani inauzwaje?!
Kwa jinsi nilivyokuelewa hapa ni kwamba kuna possibility ya kupatikana endapo watu walioiba wataendelea kuitumia au endapo wataiuza kwa mteja kisha aendelee kuitumia ndio itawezekana kuitrack kwa ufasaha ila wakiizima na kuiweka ndani haitapatikana,right?Hakuna njia yoyote ya kutrack simu kwa kutumia imei namba ikiwa simu imezimwa na location imezimwa.
Imei namba si kitu ni namba tu kama namba ya Nida hivi yaani ni utambulisho wa simu kwenye kampuni iliyoizalisha na wala haijaunganishwa na mifumo yoyote ya satellite.
Ndio maana unaanza kwa kuwalipa hela kwanza lakini ukienda wata track na watakupa location ya simu yako kabla haijazimwa yaani mara ya mwisho kuwa online. Na hapo kazi yao itakuwa imeisha na hela yako itakuwa imeliwa.
Watu wanapoteza simu kila siku ila suala la kuipata hio huwa ni story tu za vijiweni.
Kama bado unataka kuwapa hela yako basi wape baada ta kazi ama back up taarifa zako za muhimu baada ya kuongezea hio hela ununue simu nyingine maisha yaendelee
Hata polisi sidhani kama watakusaidia kuipata simu yako, watakutafuna hela hadi uje kushtuka utajikuta umetumia nusu ya gharama ya kununulia simu nyingine.Umeibiwa mganga anakuagiza kuku na mchele.
Sikia nenda polisi kitengo cha cyber crime ukiwa na hela uhakika. Achana na hao matapeli. Kwanza hyo ni kazi ya polisi .baadae watakuruka
Ataipata, afatilie tu.Hata polisi sidhani kama watakusaidia kuipata simu yako,watakutafuna hela hadi uje kushtuka utajikuta umetumia nusu ya gharama ya kununulia simu nyingine.
Oooh kwa bei hiyo atajaribu hao watu huenda wakamsaidia...2m +
ExactlyKwa jinsi nilivyokuelewa hapa ni kwamba kuna possibility ya kupatikana endapo watu walioiba wataendelea kuitumia au endapo wataiuza kwa mteja kisha aendelee kuitumia ndio itawezekana kuitrack kwa ufasaha ila wakiizima na kuiweka ndani haitapatikana,right?
Si kweliWatu wanapoteza simu kila siku ila suala la kuipata hio huwa ni story tu za vijiweni.
Nimeshangaa jamaa komenti ndefu lakini hana uelewa mpana kuhusu mada iliyopo.Usiseme hakuna sema hujui
Njia ya kutrack kupia imei ipo na ndio njia sahihi sana hata ukibadili line au acc
Ni kweli ulichosema, lakini njia hii haitasaidia kitu chochote kile endapo kama IMEI ya simu husika itabadilishwa.Usiseme hakuna sema hujui
Njia ya kutrack kupia imei ipo na ndio njia sahihi sana hata ukibadili line au acc
Huu ni ukweli mchungu sana. Anaesema polisi sijui ni kazi yao labda ni ndugu zake. Kama hawa polisi wangekuwa wanafanya inavyopasa watu waaingekuwa na wasi wanaposahau cm mahali au cm zingeonekana kaa la moto. Pia makampuni ya cm yaje na technology mpya màna Imei imepitwa na wakati. Wasijidai wanaboresha tuu kuongeza idadi ya camera mara madoidi bila kuangalia security features pia.Hata polisi sidhani kama watakusaidia kuipata simu yako,watakutafuna hela hadi uje kushtuka utajikuta umetumia nusu ya gharama ya kununulia simu nyingine.