Nimeibiwa simu, je hawa Wetrack wanaweza kunisaidia?

Ni kweli security features hazitoshi angalau iphone wamejitahidi, hizo za kichina kuna baadhi uki restore imei zinabadilika ama security features kufutika pia
 
Kioo kinakuaje spear? Yaani mkuki.
 
Umeibiwa mganga anakuagiza kuku na mchele.
Sikia nenda polisi kitengo cha cyber crime ukiwa na hela uhakika. Achana na hao matapeli. Kwanza hyo ni kazi ya polisi, baadae watakuruka.
 
Usiseme hakuna sema hujui
Njia ya kutrack kupia imei ipo na ndio njia sahihi sana hata ukibadili line au acc
 
Mkuu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukurudishia simu yako uliyoibiwa pole sana .
 
Kwa jinsi nilivyokuelewa hapa ni kwamba kuna possibility ya kupatikana endapo watu walioiba wataendelea kuitumia au endapo wataiuza kwa mteja kisha aendelee kuitumia ndio itawezekana kuitrack kwa ufasaha ila wakiizima na kuiweka ndani haitapatikana,right?
 
Umeibiwa mganga anakuagiza kuku na mchele.
Sikia nenda polisi kitengo cha cyber crime ukiwa na hela uhakika. Achana na hao matapeli. Kwanza hyo ni kazi ya polisi .baadae watakuruka
Hata polisi sidhani kama watakusaidia kuipata simu yako, watakutafuna hela hadi uje kushtuka utajikuta umetumia nusu ya gharama ya kununulia simu nyingine.
 
Exactly
 
Usiseme hakuna sema hujui
Njia ya kutrack kupia imei ipo na ndio njia sahihi sana hata ukibadili line au acc
Ni kweli ulichosema, lakini njia hii haitasaidia kitu chochote kile endapo kama IMEI ya simu husika itabadilishwa.
Siku hizi wezi wanabadilisha kwanza IMEI ya simu kabla hajaanza kuitumia hiyo simu ya wizi.
 
Hata polisi sidhani kama watakusaidia kuipata simu yako,watakutafuna hela hadi uje kushtuka utajikuta umetumia nusu ya gharama ya kununulia simu nyingine.
Huu ni ukweli mchungu sana. Anaesema polisi sijui ni kazi yao labda ni ndugu zake. Kama hawa polisi wangekuwa wanafanya inavyopasa watu waaingekuwa na wasi wanaposahau cm mahali au cm zingeonekana kaa la moto. Pia makampuni ya cm yaje na technology mpya màna Imei imepitwa na wakati. Wasijidai wanaboresha tuu kuongeza idadi ya camera mara madoidi bila kuangalia security features pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…