Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Comments reservedNi kweli ulichosema, lakini njia hii haitasaidia kitu chochote kile endapo kama IMEI ya simu husika itabadilishwa.
Siku hizi wezi wanabadilisha kwanza IMEI ya simu kabla hajaanza kuitumia hiyo simu ya wizi.
Uwezekano wa kuipata simu iliyoibiwa upo kabisa endapo kama IMEI number ya simu iliyoibiwa haijabadilishwa. Tatizo lililopo kwa Askari Polisi wa Tz kwa Maoni yangu ni:-Huu ni ukweli mchungu sana. Anaesema polisi sijui ni kazi yao labda ni ndugu zake. Kama hawa polisi wangekuwa wanafanya inavyopasa watu waaingekuwa na wasi wanaposahau cm mahali au cm zingeonekana kaa la moto. Pia makampuni ya cm yaje na technology mpya màna Imei imepitwa na wakati. Wasijidai wanaboresha tuu kuongeza idadi ya camera mara madoidi bila kuangalia security features pia.
Google Pixel haiwezekani kubadilishwa IMEIMkuu kama wahuni wataibadili IMEI number, hapo zoezi la kuipata simu yako limeshakwama.
Ni vyema zaidi ujipange ununue nyingine.
Nakushauri usinunue simu mkononi bila utambuzi halali wa simu husikaNani huyo ana risk kununua simu mkononi kwa mtu?
Inasemekana hata Sharp Aquos.Google Pixel haiwezekani kubadilishwa IMEI
Yes uko sahihi.Huu ni ukweli mchungu sana. Anaesema polisi sijui ni kazi yao labda ni ndugu zake. Kama hawa polisi wangekuwa wanafanya inavyopasa watu waaingekuwa na wasi wanaposahau cm mahali au cm zingeonekana kaa la moto. Pia makampuni ya cm yaje na technology mpya màna Imei imepitwa na wakati. Wasijidai wanaboresha tuu kuongeza idadi ya camera mara madoidi bila kuangalia security features pia.
sio kweli, kama ni kweli kwa nini, kusiwe na mkataba wa kulipa Baada ya simu kupatikana. Hii ni kamali unapoteza Simu na pesa Pia Unapoteza.Wana track hawana longolongo
Mimi nafanya kazi zasimu... hata wakiipata hawatoweza kukupa mpaka polisi... nakushauri kaongee napolisi waupelelez
Endelea kukaza fuvu. Naongea kama mtu niliyewahi kuibiwa simu na kuwatumia. Mnajidai ujuaji wa kila kitu.sio kweli, kama ni kweli kwa nini, kusiwe na mkataba wa kulipa Baada ya simu kupatikana. Hii ni kamali unapoteza Simu na pesa Pia Unapoteza.