Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Hivi ndege za ATCL Kwanini hamtoi chakula japo hata mayai omelete na kuku robo au Fish filet kwa abiria?

Mbona nauki ni ghali sana lakini mnapotezea kwa kugawa vijikorosho kwa soda/Maji tu ?

ProΕ›bo zenyewe ni zile za kukaangwa kwa mafuta na chumvi πŸ€”πŸ€”
Sipendagi Korosho roasted sababu utamu wake wa asili unakuwa umechakachuliwa.
Kwa asili Korosho Mwenyezi Mungu alifanya kuwa tamu yenyewe, sasa ukiokaanga, ukaweka chumvi Yaani unakuwa umeharibu mazima πŸ‘ŒπŸ‘Œ
Sipendi kula Korosho za hivyo mimi. 😏😏

Ni Sawa na kula dafu kwa ndimu na chumvi ?!
Au kula mahindi ya kuchoma kwa chumvi, ndimu na pili pili! Hovyooo kabisa πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…