Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Hivi ndege za ATCL Kwanini hamtoi chakula japo hata mayai omelete na kuku robo au Fish filet kwa abiria?
Mbona nauki ni ghali sana lakini mnapotezea kwa kugawa vijikorosho kwa soda/Maji tu ?
Prośbo zenyewe ni zile za kukaangwa kwa mafuta na chumvi 🤔🤔
Sipendagi Korosho roasted sababu utamu wake wa asili unakuwa umechakachuliwa.
Kwa asili Korosho Mwenyezi Mungu alifanya kuwa tamu yenyewe, sasa ukiokaanga, ukaweka chumvi Yaani unakuwa umeharibu mazima 👌👌
Sipendi kula Korosho za hivyo mimi. 😏😏
Ni Sawa na kula dafu kwa ndimu na chumvi ?!
Au kula mahindi ya kuchoma kwa chumvi, ndimu na pili pili! Hovyooo kabisa 👌👌🤔