Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Masanduku yenye zip ni changanoto hata ukilock,wanatumia kalamu kuingiza kwenye zipu inaachana wanaiba na kufunga na wala hutajua,niilibiwa nami perfume na camera kwa mtindo huu
Its a learning curve, kutokuweka vitu vya thamani. Nilifunga kabisa na box, then mifuko ya Magufuli Dah jamaa still kaotea. Hatari sana.
 
IQ ndogo. Sasa mimi niliyeibiwa ni raia wa wapi? Huenda hujawahi panda ndege wewe. Mimi naweka awareness kwa watumiaji wa ile terminal.
Asante kutupa taarifa mimi ni kati ya watu ambao sijawahi kuzoea kusafiri, sijawahi zoea ule usumbufu uliyopo airport, changamoto ni nyingi sana airport mpaka nafika roho iko juu, mara mizingo yangu nipungize dah. Na hapo ni hapa bongo nchi za watu si nitakoma?

Soon naweza enda nchi za watu sipati picha nitakavyo kuwa naweweseka na mizigo, maana nilisha shindwaga kubeba vitu vidogo.

Udumu sana uzi wetu pendwa wa ndege itabidi niutafute tena maana.. mmmh.
 
Sijui kama unajua unachoandika. Nitoke huku nilipo kwenda kuangalia cctv? Unajua how to access cctv siyo kama unavyofikiria. Inaonyesha upeo wako ukoje either mkubwa sana au otherwise. Ni sensible ukiacha ku comment kuliko ulivyo comment.
Sasa unataka tukusaidiaje ww matako nn au umeolewa huko marekani kakolo lady
 
Back
Top Bottom