Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Hivi siku hizi unaruhusiwa kusafiri na perfume au nilipanda ndege za kizamani? Itakuwa ni uzembe wa namna gani huu kuruhusu hiki kitu! Hujui kuwa perfume inaweza kuwa ni zuga kikawa ni kimiminika au gesi ya kusababisha mlipuko kwenye ndege? Perfume yaweza kuwa ni gesi au hewa ya kulevya mtu akipuliza kwenye ndege abiria na rubani wakasinzia? Vipi ikiwa ni sumu mtu akipuliza watu wote wanakufa kwenye ndege? Sidhani kama maafisa wa usalama wa viwanja vya ndege waweza kuwa wazembe kiasi hiki kuruhusu kitu kama hicho. Kitakuwa kimewarahisishia magaidi kazi ya kuua bila bunduki au bomu
 
Hana hiyo access! , akirudi safari, atoe taarifa kwa uongozi wa kiwanja, watafuatlia siku aliyosafiri akiwa pale nje public concourse hadi akicheki in pale screen point ya departure na ya final check....abiria akisahau vinahifadhiwa ukirudi unapewa vitu vyako.
Sidhani kama wana hiyo customer care. Nilipogundua nikatafuta contact za wahusika. Nikawatumia email, flight number na boarding pass. Hamna aliye respond ndio nikaamua nije huku kuweka awareness asiibiwe mwingine kama nilivyoibiwa.
 
Sidhani kuandika kitu kama hiki cha uongo nanufaika na nini. Najua sitavipata fine lengo langu kuweka awareness kwa wasafiri wengine kuwa pale si salama. Kama nadanganya wa track begi langu nimeli identify.
Mkuu ukienda pale kama kweli vitu vyako vimeibwa basi utavipata au hatua itachukuliwa.
 
Kwani nani huwa anaandika humu na kuleta ushahidi?
Comments za watu acha tu. Ila nilipo complain kwa kutuma email niliweka hivyo vitu kama boarding pass, ikiwa na info zote. No one even tried to acknoledge hata kwa automatic email kuwa wamepokea. No.
 
Hivi siku hizi unaruhusiwa kusafiri na perfume au nilipanda ndege za kizamani? Itakuwa ni uzembe wa namna gani huu kuruhusu hiki kitu! Hujui kuwa perfume inaweza kuwa ni zuga kikawa ni kimiminika au gesi ya kusababisha mlipuko kwenye ndege? Perfume yaweza kuwa ni gesi au hewa ya kulevya mtu akipuliza kwenye ndege abiria na rubani wakasinzia? Vipi ikiwa ni sumu mtu akipuliza watu wote wanakufa kwenye ndege? Sidhani kama maafisa wa usalama wa viwanja vya ndege waweza kuwa wazembe kiasi hiki kuruhusu kitu kama hicho. Kitakuwa kimewarahisishia magaidi kazi ya kuua bila bunduki au bomu
Vikiwa kwenye Check-in bag hamna shida, ila kwenye bag unaloingia nalo kuweka kwenye cabin hawaruhusu.
 
Unatoa peerfume Dar unapeleka Qatar,vice versa is true
 
Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
Tangu tarehe hiyo ndiyo unalalamika leo kiongozi
 
Mume mnafanya wrapping pia huwa inasaidia kwa kiasi kukupa alarming alert pale ambapo kumefanyika attempt ya wizi .
Maana utaona tu mzigo wako kuchanwa au kufunguliwa mahala.
Na ni affordable kwa kiasi Fulani .
 
Back
Top Bottom